Haki ipo wapi na serikali inafanya nini ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki ipo wapi na serikali inafanya nini ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jpaul, Nov 20, 2011.

 1. j

  jpaul Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba maoni yenu!!! kuna kampuni maarufu kwa uzalishaji wa vyandarua mkoni arusha, kampuni hiyo inawalipisha nyumba za kuishi wafanyakazi wake kwa gharama ambayo haifai hata kidogo.gharama ya hizo nyumba ni kama ifuatavyo;double room ni sh laki moja na sabini (170,000/=),single room shilingi 65000/= halafu inawalazimisha kuishi kwa nguvu na kwa kutoa vitisho vikali kuwa usipo ishi na kazi hauma tena. jamani ndugu zangu haki ya mtanzani au maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi ??.nchi ya kwetu halafu tumegeuzwa kuwa watumwa wa hiari kwa hii hali .je nauliza wizara ya nyumba na makazi ina taarifa kuhusu ili swala na kwanini limefungiwa macho!!!! wakati wananchi wanaendelea kuumia.hii ni kwasababu serikali yetu inatoa haadi zisizo timilika(fake promisi).

  pia kuna keresha la kusanga mawe ambalo limewekwa karibu na hizo nyumba kwa ufupi limewekwa ndai ya hicho kiwanda ambapo ni hatari kwa maisha ya binadamu,lakini kutokana na mwenye hiyo kampuni kutokua na utu wa binadamu hata kidogo anaona kuwa ni sawa kwa jamii maana kawageuza wafanyakazi wake kuwa wanyama:spy:.je serikali ina taarifa kuwa hii kampuni ina vunja sheria za inchi ?? au inataka wananchi wajichukulie sheria mikononi ndipo ijue kuwa wananchi wamechoka na kunyanyaswa. serikali isipo fatilia hili swala kwa karibu zaidi na kutatua hii kero kwa wananchi wa ARUSHA watajichukulia sheria yao wenyewe kwa hii kampuni maana wananchi wa ARUSHA wamechoka na UNYANYASAJI WA MWENYE HII KAMPUNI !!!!.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huna haja ya kuchukua sheria mkononi. Nenda kwenye vyombo vinavyohusika, naamini vipo na vitasikiliza malalamiko yenu
   
 3. j

  jpaul Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mume soma hiyo hapo chini !!!!!!!!!!!!!!!!![:peep:
   
Loading...