Recent content by Jozen

  1. Jozen

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kama Dream team inarudi hivi emb ngoja tuone tukikutana na big teams
  2. Jozen

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Umeumia sababu hujui bolu
  3. Jozen

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya bati za Alaf ni kubwa sana kuliko za viwanda vingine?

    Miaka mitano sio kipimo cha bati nzuri. Bati nzuri unapewa guarantee ya miaka 20 boss
  4. Jozen

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Ukiwa serious share number zako za whatsap
  5. Jozen

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba ya kisasa kunaweza gharimu Tsh. ngapi?

    Jitahidi ujue unataka nyumba ya namna gani kwanza, lakini pia fikiria kuhusu bei za gharama za vifaa vya ujenzi Gawa ujenzi wako kwa awamu, Sababu umejua gharama za vifaa nini kinahitajika wakati gani itakupa picha kamili kwamba awamu hii ninafanya hiki. Awamu hii nitafanya kile. Ujenzi ni...
  6. Jozen

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya hivi vifaa vya ujenzi

    Nakutafuta kesho mapema
  7. Jozen

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya hivi vifaa vya ujenzi

    Eve upo wow
  8. Jozen

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya hivi vifaa vya ujenzi

    Tatizo ujuaji mwingi sana humu, when one ask Kuna reason behind. Issue ilikua simple tu kuignore au kujibu swali. Unafikiri siku Consider kutick all the boxes kabla sijauliza. Fatilia vizuri uzi usikurupuke bwana mdogo
  9. Jozen

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya hivi vifaa vya ujenzi

    Mtoa Mada sio mawenge mtoa Mada ameuliza akarudia kusema anaish mbali na nchi Kuna shida?
  10. Jozen

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya hivi vifaa vya ujenzi

    Mkandarasi sio rafiki niseme kila kitu ni ndio ndio lazima ujilidhishe hasa kama unaishi mbali na Tanzania
  11. Jozen

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya hivi vifaa vya ujenzi

    Siishi Tanzania mzee bei zimebadirika last time nilikua huko, naplan kuja this may mwishoni. Nikiuliza maana ake najiridhisha kuwa nikichoambiwa ni sawa
  12. Jozen

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya hivi vifaa vya ujenzi

    Habari wadau kwema? been a while nimekua msomaji tu humu ila leo nimeona nitafute msaada wa kiuzoefu huko nyumbani Currently naishi mbali na Tanzania na nilikua najaribu kufanya overview ya bei za vifaa kwa sasa maana karibu nije kumaliza kakibanda kangu ka kuunga unga na sasa hizi bei zilivyo...
  13. Jozen

    JamiiForums Tanzania Hivi ili nawe umeliona? Nyumba za makazi Marekani na Ulaya kutokuwa na fensi ndefu

    Hawa wenzetu wameendelea hawana shida. Sisi tuna njaa sana
  14. Jozen

    JamiiForums Tanzania Ni nini huwa kinapelekea eneo fulani kujikuta limekuwa na Makazi ya Kishua (wealthy neighbourhoods)?

    Sababu zipo nyingi but kuu ni hizi Viwanja vimepimwa na bei ya viwanja vilivyopimwa kila mtu anaijua. Watu wanaotaka kununua viwanja vilivyopimwa ni watu wenye kutaka kuishi mitaa iliyo staarabika. Hakuna kuuziana chapati
  15. Jozen

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nimegundua nabishana na watu hawajui wanatetea nini
Back
Top Bottom