Hivi wa kulaumiwa ni Lulu au Seki mwenyewe yeye anamke kilichomfanya kuwa na Lulu ni nini?Kama alikuwa hana maelewano na mkewe na akawa anahitaji mchepuko si angeenda pale sinza akajitimizia haja zake maisha yakaendelea.
Hivi kumbe ccm wanampenda Zitto kweli hii kali kwa lipi hasa. Hapa ndipo nakuwa na mashaka na huyu Zitto eti si vizuri walichomfanyia Zitto kwa kuwa anawafusi wengi akitoka atadhoofisha CHADEMA. Kwani ccm wanataka CHADEMA iimarike?jamani jamani akili za kuambiwa changanya na zakwako jibu unalo...
Ukweli upo hivi.Pesa inanguvu sana kuliko kila kitu kasoro uhai tu.Kama hulijui hili utapata sana taabu.RC wana utaratibu wa kuwa na jumuia na kama imethibitika una mke zaidi ya mmoja hata kwenye jumuia hutakubalika. Na usipo kubalika kwenye jumuia maana yake hutazikwa na kanisa. LAKINI JE...
Wacha kujihangaisha na mambo yaliyo letwa na wazungu na waarabu sisi waafrika tulikuwa na mna mila na desturi zetu. Hiyo biblia na quruan ni ya kwao. Kwetu hayatakiwi kuwa na nafasi amkeni mko usingizini.
Siasa za Mwigulu ni nyepesi sana bado ni mchanga sana ana hoja za kawaida sana labda kwa watu wenye uelewa mdogo ndio watamuona kama anafaa kuwa kiongozi. Ukimtathmini kwa kina utagundua kuna kitu ame ki target wala sioni kama anayo yafanya na anayosema anaweza kuyatekeleza ni mzuri wa longo...
Kama anaye panda ndege business class na economy ni sawa kwa maana ya kwamba wanako kwenda ni kumoja. Hii itakuwa ni tafsiri ya kupeana faraja tu kwa sababu suala si kufika tu! Umefikaje?
Muanzisha uzi anamawazo potofu sana, usafiri wa abiria au ya raia hayapaswi kumtegemea mfanyabiashara mmoja na si suala la kuwaachia wafanya biashara kwa asilimia 100. Likiwa hivyo ndio madhara yake hayo na nyie abiria mmshaamini huyo bakhresa ndio mwenye wajibu huo hilo ni kosa. Wajibu huo ni...
Ukifanya analysis ya kawaida sana unachoweza sema kuhusu huyu mtu anaye omba ushauri kuhusu ni gari gani inafaa kwa kupeleka watoto ni mtu mwenye majivuno na nilimbukeni sana. Mashauriano ya kwako na mkeo watu wengine yanawahusu nini? Kwasababu kama unamiliki magari uliyo yataja kwako wewe...
Mchangiaji aliyepita amegusa Ikulu ukiona bidhaa inashamiri sana sokoni ujue walaji au watumiaji ni wengi. Kwa maana hiyo suala si kuwaona mashoga ni tatizo na wanaowashughulikia ndio tatizo zaidi. Kama walaji hukuna bidhaa sokoni hutaiona huo ndio ukweli. Cha msingi wanaume wanao washughulikia...
Kufanikiwa au kutofanikiwa halina uhusiano wowote na jinsia. Kinachotokea ni wewe mwenyewe kuamua ni jitihada na mbinu gani unaweza kutumia kwenye kukimbizana na maisha ili kufanikiwa. Na hakuna mtu yeyote anayefanikiwa au kutofanikiwa bila ya kuhusisha na watu wengine. Kwahiyo ni wewe kutumia...
Jadili hoja iliyowekwa mezani acha hasira kwasababu sikuzote ukweli unauma issue hapa ni namna ya kupangilia vipaumbele katika maisha ya mtu mwenge utimamu wa ability. Kwahiyo hoja ni ya msingi kabisa lazima ukiwa kama binaadamu mwenye utimamu wa akili ujue ku-set priorities otherwise huwezi...
Nimezisoma hoja mbali mbali walizo chingia wenzangu, lakini na mimi nina mambo ya kusisitiza kwa kuwa limeshasemwa ila kwa kuwa ndilo ya msingi basi nayabainisha bayana, TATIZO LA WAISLAM NI
1. UKOSEFU WA ELIMU YA KUTOSHA (ELIMU DUNIA)
2. UELEWA MDOGO WA KUTAFAKARI MAMBO YANAYOWAZUNGUKA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.