More questions to kafulila
1.Anajua kwamba kazi ya upinzani n kusimamia serikali,kuikosoa inapokoseaa, kuishauri katika mipango ya maendeleo,kuibua ufisadi kama,lugumi,mikataba ya madini,escrow,Richmond, epa, with evidences Mr kafulila nambie kazi zote hapo juuu,zipi upinzani hazifanyiki...
Mm na nawashauri cloudz waanzie sokoni kwanza,,
Kinchowatafuna n
kuisapoti ccm na serikali yake
Wanashindwa ata kukosoa serikali inapokoseaa
Sasa huyu mliemfanya kama ndugu na rafiki katika business atawasumbua sana kwan nae anawafasi wake sokoni
JPM hajaonvhea lolote juu ya mikataba his major concern ni misrepresentation ya contents ya madini ndani ya michana jamani?
Je, hyo mikataba ambayo n bogus na hamjawai kuiona najua,inaruhusu investors kufanya misrepresentation yoyote ya information ambayo n base ya other part kufanya decisions...
kwani hyo mikataba tuliyosaini inaruhusu hawa wawekezaji wasitangaze the true value ya contents na financials zake zilizokuwepo katika michanga? Mbona kama vile mnaisemea mikataba msi wai kuiona ata siku moja wazee
Kwahyo unataka tusibadilike,kwa hiyo tuache wizi uendelee,wewe unatka Rais afanyaje na huu wizi? So you dont want changes? Jamani mnataka nn mbona hatuwaelewi wa bongo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.