Recent content by jozee jose

  1. J

    Wanaume, huwa mnaharakia nini?

    Wadudu wanakuwa zaidi 100m wanawasha sana ndia maa a hatutuliii
  2. J

    Hakuna Scam kubwa hii dunia kama kuoa Mwanamke eti kisa kasoma chuo au ameajiriwa ili msaidiane majukumu ya ndani na mfanye maendeleo

    Mwanamke ni mwanamke tu, unaweza oa ambaye hana kazi...Anashinda nyumbani anachat video call na washikaji alafu wanakuja kumdinyia hapo hapo na washikaji zako... Kimsingi tuwe na mawazo positive hivyo tu tutaweza ya mbele kuliko ujinga huu
  3. J

    Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

    Kama una mishahara ina kutana huenda kuna haya yafuatayo 1.una ishi maisha ya zero cost ,yaani ndo wale wanafanya kazi huku wazazi wao wakiwatumia pesa za matumizi mara nyingi hili huwatokea wadaa wanaopendwa na Baba zao 2.ni mfanyakazi lakini una biashara kubwa inayokuingizia kipato ambacho ni...
  4. J

    Wamakonde ni wazuri sana mdomoni

    Nimezunguka baadhi ya mikoa Tanzania kama vile Dar, Iringa, Mbeya, Morogoro, Lindi ,Kilimanjaro na Pwani lakini kuna Nkoa unaitwa Ntwara daaaaa😃😃 Watu wa mkoa wa Ntwara ni wazuri sana mdomoni yaani kitaalamu (win-win agreement) hasa unapopanga naye jambo la tija au ustawi wenu... 😁😁 Sasa...
  5. J

    Mtu mzima ni kuanzia miaka 13. Foolish age (adolescence) ni ujanja wa wazungu kufanya vijana wajipe uhalali wa kufanya ujinga

    Mimi nadhani wapo sahihi kutokana na Tabia zinazoonekana kwenye umri huo Lakini jambo la pili hawakukuzuia usijitambue mapema ndio maana hata messi na ronaldo walianza kulipwa wakiwa wadogo tuu... Ona yamal ana 17 na ni Star mdogo sasas. Kushindwa kwetu kutoboa ni ujinga wetu wenyewe wala sio...
  6. J

    Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

    "Siku amepata janga mfano kifo ndipo utaelewa somo vizuri " Mwisho wa kunukuu ,alisema mzee mmoja hivi
  7. J

    Iphone mbona wapo nyuma sana

    I phone ni simu nzuri sanaa, ni vile tu huna pesa za kuinunua ndio maana una hasira nazo. We komaa na androids mkuu, uwe una download buree😄😄😄
  8. J

    Iphone mbona wapo nyuma sana

    Mimi sina i phone lakini ni simu bora sana kuliko simu yoyote, ogopa kitu kutoka USA
  9. J

    Ni nani alaimiwe kwenye hili?

    Mmomonyoko wa maadili kwa kizazi cha leo umekuwa ukienda kwa kasi sana, nahisi itakuwa 10G😄😄. Jambo hili limekuwa likileta mkanganyiko na kutupiana lawama kwa kila rika. Hebu angalia mitazamo ifuatayo Kwanza,Watu wazima (50+) huwatupia lawama vijana hasa watoto 2000 ya kwamba wanaaribu maadili...
  10. J

    Mpaka sasa Najiona Nishakata tamaa kabisa ya kuo

    Nikutie moyo tu Kwanza Acha uoga, Maisha yako sio maisha yao Kumbuka Dunia hii ni ya changamoto kila nyanja Hebu fikiria hili utaacha kutafuta pesa kwa kuwa uchumi ni mgumu au biashara haziendi? Bila shaka utapambana ukijua ya kwamba asiyefanya kazi na asile Sasa vijana wengi wanavizingizio...
  11. J

    Wamakonde mna nini lakini?

    Sasa unatembea huku zinachuruzika . 7 sio mchezooo
  12. J

    Wamakonde mna nini lakini?

    Sasa unakuwa tepetepee ,,,na unatembea kabisa?
  13. J

    Wamakonde mna nini lakini?

    Mashuti 7🤣🤣
  14. J

    Wamakonde mna nini lakini?

    Uwiiiiii hadi mpini umesisimkaa😃😃😃
Back
Top Bottom