Yanayoendelea nchi hii unaweza cheka mwenyewe kimya kimya,,press conference ndo habari ya mjini,eti hadi yule mama sepenga anakua na sauti nchi hii,,,wonders will never end in this country.
Mida mengine unaweza juta kwanini upo nchi hii yaani kila kitu ni kukurupuka matajiri ni watu umuhimu ila unapowapa wakati mgumu ujue zaidi ya watanzania 15000 unahatarisha maisha yao fikiria kama mtu ameajiri watu 5000 na anafamilia ya watu zaidi ya wawili.Baadae tutakuja kuona madhara yake not...
Ukipata ziro unaenda jela miaka miwili,so yamecheleweshwa makusudi wote mlopata 0 tunawapangia magereza wakati walofaulu tunawapngia shule za kwenda:mad::):)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.