Recent content by joyness

  1. joyness

    Kwa wale watumiaji wa EFD machine nauza paper rolls

    2,500 57*50 na 2,000 57*40 80*80 5,500
  2. joyness

    Kwa wale watumiaji wa EFD machine nauza paper rolls

    Size zote...bei 2,500 57*50 na 2,000 57*40
  3. joyness

    Kwa wale watumiaji wa EFD machine nauza paper rolls

    Habarini za jioni, Kama wewe ni mtumiaji wa machine ya EFD nauza paper rolls na ninakuletea mpaka dukani/ofisini kwako. Delivery ni bureeee kabisa. Karibuni wapendwa no za simu 0767819395
  4. joyness

    Gharama ya frame Kariakoo

    habari za jioni, ninaimani mu wazima na mmeaheherekea eid vizuri, wadau naomba mnifahamishe gharama ya frame za biashara kariakoo au sehemu karibu na kariakoo.
  5. joyness

    kweli hili linanichanganya ushauli pls...

    kwani we huna dini au?
  6. joyness

    kweli hili linanichanganya ushauli pls...

    onaona jinsi mawazo yako yalivyo...yaani umeing'ang'ania hiyo hali na umeridhika nayo ndo maana unapata shida.
  7. joyness

    kweli hili linanichanganya ushauli pls...

    acha kujiendekeza,ikatae hiyo hali kutoka moyoni mwako ama sivyo itakusumbua sana. kama umeshindwa kabisa ukaombewe hilo pepo likutoke.
  8. joyness

    We unaweza kupenda hivi?

    haswaaa!!Hapo umenena,na kama sivyo basi kalishwa limbwata huyo,au hajielewi.
  9. joyness

    Kwa Wanawake tu: Je, Ungependa Mwanao Afanane na Nani? (Kwa Jinsia Ya KE Tu)

    embu acha mambo ya kufkirika ambayo hayawezi kutokea.....leta thread yenye maana na kufundisha.
  10. joyness

    Namtamani sana dem wa mshkaji wangu sijui nim.....!!

    umle amekuwa nyama???tamaa itakuponza acha kukurupuka kijana.
  11. joyness

    Kwanini wanawake wengi wana mihemko ya Uzinzi miaka hii hata aliyeko kwenye ndoa anazini?

    hapa inabidi tuongelee pande zote mbili. nyie wanaume:mnasahau majukumu yenu,mashindwa kuwatreat wake zenu kama inavyotakiwa ndio maana wanagongwa hovyo. wanawake:tuache tamaa,na vile vile tuache kulinganisha....mara ooooh mume wangu hana six pack,mara oooohh mume wangu si handsome,mara oooohh...
  12. joyness

    Mh....!! Nimejaribu nikaanguka

    kwanini upige nyeto??wanawake wameisha au??
  13. joyness

    Hii ndo sex body....

    i think sex body ni body yenye mvuto wa kimapenzi.
  14. joyness

    ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

    punguza jazba ndugu yangu......kupiga si solution ya tatizo,tulia na utafute njia nyingine ya kutatua hilo,kwani akikutaja kwenye maombi we inakukwaza nini??au una mapepo??
Back
Top Bottom