Ni haki ya kila mmoja kupiga kura yake anakoona inamfaaa.
Lakini taka usitake, watanzania wanataka waone mabadiliko walau kwa miaka mitano tuuu, baada ya kupita 50, ila ukitazama tulipotoka, tulipo na tunakoelekea ni giza nene.
Uwongo ni mbaya sana, watu tunasubiria tarehe 25.10.2015 kwa...
Nadhani ni bora wangeonesha kwa uhalisia zaidi ili watu wasihangaike sanaaa kuzitafuta.
Kuna namna naamini kuwa kwa wao kufanya hivyo, tutazipata pengine tena zikiwa zimechakachuliwa kwa kukandamiza ccm hiyo hiyo, nina maanisha kuwa, maneno yatakolezwa kutokana na mihemko ya kiitikadi ya kivyama...
Mimi kwa uwelewa wangu mdogo kwa mambo ya wanasiasa, huyu jamaa amebebeshwa mzingo usio wake tuu.
Ni kwa vile mwanaume sio vizuri kuogopa vita kabla haujapigana lakini siri anayo moyoni mwake.
Naomba niawulizeni wadau wangu.
Ikiwa EL alitangaza nia Arusha.
Kiana Wasira na wenzake kwenye...
Yetu macho tuu, ila kazi ipo ndg zanguni.
Uchaguzi kama utakuwepo tumuombe Mungu uwe wa amani Maana hii nchi imeshateikwa na mafisadi na ndio wanapigana kufa na kupona waishike dola.
Nikirudi nyuma sijui Watanzania nani aliyetuloga. Ni kweli watu wanaweza kusahau mapema namna hii kiasi cha...
Ndugu yangu hongera sanaa kwa kazi nzuri uliyoifanya hakika umeshaokoa wengi waliosoma habari hii na wote watakaoendelea kuisoma.
tatizo letu ni haraka.
tafadhali zingatia usalama, usiwe na haraka kijijini utafika na utawakuta, laa sivyo hutofika na hutowaona bali watakupokea maiti na kwa...
Asante sana na kutufahamisha hilo la nssf kwni na mim ni mwanachama wake.
Hivi jamani hii mifuko kuna siri gani mbona inaongezeka kama vyama vya siasa?
Na kila mmoja anaona yeye ni zaidi ya mwingine?
mbaya zaidi ni kwamba eti ukishajiunga kwa mfuko mmoja huruhusiwi kujitoa na kujiunga na mfuko...
Kila mmoja atasema lake lakini ukweli utabakia kuwa ukweli.
Uchawi sio dili, watu wanaitafuta hela.
Issue ya kuwafanya watoto mandondocha sidhani kama ni jambolo lipo uchagani bali wanajaribu walio wachache kuiga tamaduni ambazo pia zinawatesa sana wanajaribu kufanya hivyo.
Sio watoto tuu bali...
Kuna Miungu watu huku kanisani kwetu.
Eti unakuta Kijana wa watu Kajisomea hadi anafikia mwaka wa Kichungaji anaambiwa eti "Katika kusali kwetu Mama Kanisa hatuonesha wewe kuwa na wito hivyo wewe hufai katika wito huu"
Hivi Kina Bandiho hawa si ndio wenye wito?
Msisahau huyu alikuwa Mlezi wa...
Hivi si ndio hao hao wametuchomea soko letu, kisha wanatuambia eti tulipe 3M kujenga kibanda cha kisasa?
Kwa nini wasingetuambia tujenge Vibanda vya kisasa kuliko kutuunguzia mali zetu, sasa mitaji hatuna, Mabenki yanatudai eti wanatuambia tujenge vibanda vya kisasa.
Pili zima moto Arusha wapo...
Kiukweli pamoja na watu kukosa maadili ya kazi hadi kupelekea kila sekta kuonekana kama watu wanafanya kazi ili kupata mshiko. Idara hii ya afya inapaswa kuheshimiwa sana. Manesi hawa kazi wanazozifanya ni zaidi ya mshahara wanaolipwa hivyo, nadhani wahusika wanapaswa kuwaangalia kwa jicho la...
Kaka utaratibu huo nadhani hapa kwetu haujafika hivyo tumia zilizopo uweze kupata Mkopo huo.
Naamini ukiwa na ardhi itaweza kukusaidia ukapata unachotaka.
NB: Mabenki yetu riba nayo ni balaaa! Hivyo kabla hujajaribu kuigusa benki hakikisha wanakupa shule ya kutosha.
Mimi naamini mtu kama hutaki kuelewa story flan sio lazima kutoa lawama, kama vp unapotezea tuu.
Kukosea herufi moja tuu katika neno hilo ANECEPHALY instead of anencephaly imekuwa shida!!
Ni mengi matukio tena ya ajabu kuliko hilo na hayapati wa kuyaripoti hapa na kwingineko!
Tusivunje watu Moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.