Duh kwa sehemu nitakuunga mkono pale wanawake wanaposahau kutii ukichwa wa mwanaume na kusahau mwanamke yuko chini na ni msaidizi wa mume wake...ila kumbuka Yesu hakuwa na ubaguzi na ndio maana hata yule mwanamke aliyekuwa akitiririkwa na damu aliposhika vazi la Yesu akapona hukukemewa kwa tendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.