Wasalam wajumbe,
Ningependa kujua ni jinsi gani mfumo wa kuSign fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu unafanya kazi.
Iko hivi: A/C number yangu ya bank imekosewa na HESLB. Kila nikifanya marekebisho kwenda HESLB, siku wanapo leta majina huwa jina langu linakuja likiwa na makosa...
Kumetokea utapeli mpya, huu nimeushuhudia manispaa ya Moshi Mjini.
Iko hivi, kunawafanyabiashara wa vyombo vya electronics kama vile Simu na Computers ambao wanauza hivi vifaa vipya na vingine used.
Hawa jamaa wakikuuzia kifaa used (let's say Simu) huwa wanakaa baada ya muda fulani then mteja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.