Mfumo wa Biometric HESLB

Jovanny hm

Member
Jun 5, 2019
31
25
Wasalam wajumbe,

Ningependa kujua ni jinsi gani mfumo wa kuSign fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu unafanya kazi.

Iko hivi: A/C number yangu ya bank imekosewa na HESLB. Kila nikifanya marekebisho kwenda HESLB, siku wanapo leta majina huwa jina langu linakuja likiwa na makosa yaleyale ya kukosewa namba ya account.

Mfumo wa kujisajili na alama za vidole umefika chuoni kwetu ila na kwama kujisajili kwa kuhofia taarifa za account yangu kuwa tofauti na zile zilizopo HESLB.

Vipi kwa ambao tayari wamejisajili na mfumo huu huku wakiwa wanatatizo kama langu, mliwezaje kujisajili? Maana kila nikituma acc no. yangu HESLB wairekebishe, matokeo huja yaleyale.
 
Ili swali ni vyema pia ukawauliza bank officers na loan officer pale chuoni kwenu. wangekupatia ushauri mzuri pia.
 
Back
Top Bottom