Ulikuwa mkenge tu aisee 😂😂😂
Japo lengo kuu la kuleta Uzi ni kutoa tahadhari zaidi ili wengine yasije wakuta kama yaliyonikuta!
Na Mimi huenda ningeona tahadhari kama hii ningepona!!
K
Ukiwa umetokea baadhi ya mazingira huwezi ukaelewa upande mwingine wa mazingira ya watu wengine...
Yule mke wa mfalme wa ufaransa alishangaa watu kukosa mkate akawaambia "si mle keki" 😂😂😂
Kwake alikuwa anaona watu wote wana hali kama yake tu!!
Yes
Kila kitu kigeni kinakuja na aina ya hofu ya mwanzoni, hiyo ni hali ya kawaida kwenye mambo mengi tu!!
Ili uende huko ubalozi kuna vitu lazima uwe navyo,
Sasa hivyo vitu ndio kwenye baadhi ya mazingira unajikuta unahitaji msaada ili uvipate; vitu kama Invitation letter (kama ni mualiko...
Kama content creator anaeleza kuwa anaandaa safari utaacha vipi kwenda kwake?
Yes visa unaomba ubalozi,
Hilo sio tatizo hata!!
Tatizo unapoomba visa kwenye portal ya nchi husika Kuna vitu vingi vya kuambatanisho mfano mualiko wa mkutano au mualiko wa kawaida;
Hivyo vitu kwenye mazingira ya...
Kumekuwa na trend ya watu tunaoweza kusema ni content creators ambao wapo nje ya nchi wanatoa post/content mbali mbali kuhusiana na maisha ya ughaibuni.
Wengi wanazungumza umuhimu wa kujaribu fursa kwenye nchi zilizoendelea zaidi mfano wa nchi za ulimwengu wa Kwanza!
Binafsi nilikuwa Mpenzi wa...
Siku ya Jumapili, ofisi ya Kisaki (Kwa Dada Kulwa) huwa inafunguliwa jioni na hasa ni kwaajili ya kutoa vibali vya wanaoingia jumatatu. Hivyo ilipofika mida ya saa kumi na mbili kasoro ya jioni nilifika pale na bahati nzuri sana Dada Kulwa hakuwepo.
Alikuwepo msaidizi wake kijana mmoja...
Baada ya HR kusema hayo alitutoa nje ya ofisi yake,
Hapo nikajiuliza kitu.
Hivi yule "Dada Kulwa" alivyokuwa ananiambia kuwa amefunga kutoa vibali siku ile nilipofika na mimi kumkubalia hiyo kesho yake ningewezaje kuwahi hii interview?
Pia nilichokiona mpaka hapo ni kuwa HR wa hii kampuni ya...
'Nilitamani ningeyajua haya kabla ya Kuomba ajira kwenye mradi wa "Bwawa la Nyerere" chini ya kampuni ya JV Arab Contractor & Elsewedy Electric'
Kama ilivyo kwa vijana wengi wa kitanzania, katika pita pita zangu mitandaoni na kutafuta ajira nilikutana na tangazo ajira toka kwa hawa jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.