Recent content by Joto hasira

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

    Kutoka 20:5 [5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
  2. J

    JamiiForums Tanzania Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

    Covid 19 ni hatari kwa afya za wanandoa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inastahili 50% ya Muungano

    Kwani hao wazenji wanamchango gani kwenye muungano?tunahitaji kujua then tujue tunafanyeje kwenye hilo swala la pasu kwa pasu.nawasilisha
  4. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

    Dunia haijawahi kuishiwa vituko,ama kweli wanasiasa wana ndimi 2.huyu huyu ninaemjua ama?acheni kumsingizia jamani.au nimesema uongo ndugu zangu?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kuonana na Rais kuzungumzia Uhalifu wa Kibinadamu Unaofanyika Nchini.Kutekwa na Kupotezwa

    Mimi mwenyewe natamani kuwa padri ili nilihubiri Neno la Mungu ambalo nilamuhimu zaidi hapa duniani.sema tu kule seminary najua watanionea wivu sitafika mbali watanitimua tu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge

    Hakuna chakustaajabisha hapo.hii mambo ilikuwa very clear from the very beginning.Ndio demokrasia hiyo.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Msitutoe kwenye mjadala wa mabasi yamwendokasi na adha tunayokutana nayo tafadhali..huyu director wa hii movie kawashika kweli kweli
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mjue Alinacha na ndoto yake

    Iko hivi..kulikuwa Kuna miti miwili porini.mmoja ulikuwa mzuri umenyooka na ulikuwa unavutia kwakweli,pembeni ya huo mti mzuri ulikuwepo mti mwingine ambao wenyewe ulikuwa umepindapinda ,kiujumla haukuwa unavutia..Basi Kila upepo ulipovuma ule mti mzuri ulikuwa ukiucheka ule mti mbaya kwajinsi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Umenena vyema..let us wait n see what will happen
  10. J

    JamiiForums Tanzania Eneo hili linalindwa na mtambo maalumu wa kuzuia wezi.

    mi naona wengi wanaweka kama matangazo tu. si unajua biashara hiyo
  11. J

    JamiiForums Tanzania YANGA IMOOO!!!

    imepenya kabisa..leo kitaa kumetulia hatusikii habari za yule kichuna wao
  12. J

    JamiiForums Tanzania YANGA IMOOO!!!

    immooooooooooooooooooooooooo
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa karne atakuwa Magufuli

    duuuh..kazi kwelikweli
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaumbuka, kumbe operesheni UKUTA ni copy and paste kutoka USA!!!

    UKUTA ni acronym tu Mkubwa...umoja wakupambana na udikteta Tanzania...hiyo wall sioni ikiingia hapa.labda kama mmeamua mbishe tu
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tujadili, Tangazo la biashara la Coca cola "onja msisimko"

    tangazo lenyewe wamechemka..dogo anaonekana anakunywa soda ipo mdomoni anashusha chupa inaonekana bado imejaa..by the way wamejitahidi kuedit
Back
Top Bottom