Recent content by jothamgo

  1. jothamgo

    Taratibu za kusoma CPA Tanzania

    Mambo yamebadilika kwa wale waliosoma finance...... Hawatasoma masomo yoye ya foundation.. Unaweza soma mawili au matatu inategema chuo ulisoma kitu masomo ganii.. Kwa hivo transcript yako itaitajika..
  2. jothamgo

    Mzigo mpya wa Samsung Tablet toka SA bei poa

    Nomab zenyewee mbona fupi.. #Haijakamilikaaa .. Na assume kwamba watu wameshindwa kikutafuta ..
  3. jothamgo

    Mahojiano (EXCLUSIVE INTERVIEW) ya JamiiForums na Khamis Kagasheki

    sijapata hizo video mpaka Leo..
  4. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    Hii ni kwa wale waliofanya interview december 2014
  5. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    May be hii itafunga huu uziii... Watu toka jumatatu ya tarehe 13 april.. Wameingia pale chuo cha Kodi na kuendelea na kinachotakiwa kuendelea.. soooo Its done.. Unless you are reserve..
  6. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    May Be kuna uwezekanoo.. tuombe munguu
  7. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    Nooo kigilag....... Ni ile ilyo tumika kuwapigia watu walioitwaa... Zile unazosemaa hakuna inayopatikanaa.... zile uzushii tuu..
  8. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    Mara ya mwisho nilipiga ile nammba ilyotumika.just to check in if they found me unreachable, Unfortunately yule mdada anayepiga simu huwa anapewa list ya majina na kuwapigia na yalikua yameishaa..... Mmmoja tu alikua hajapatikani na alisema atamtafuta alikua anaitwa Marry, Alisema kama...
  9. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    Lets hope.. wamestop kidogo kwa sababu ya holiday.....then wataendeleaa Kama ipo ipo....mkuu....Mungu atufanyie njia..
  10. jothamgo

    Kupata kazi bila kujuana inawezekana

    Mungu huweka njia kila pale penye niaa.... Ukifanya juhudiii... utapata tuu.. God is good..
  11. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    Mungu mkubwaa... Hongera sana mkuu..... Ngoja sisi tuendelee kuwa na subiraa... Mungu awe nasi
  12. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  13. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    Waduuu... Presure Imekua kubwaaa mpaka.. Naomba kitu kifuatachoo kutoka kwenuu.... Naomba mtusaidie ile No...waliotumia kuwapigiaa simu.. kwa wale mliopigiwa..May be it Can Help.. you know...😨😨😞
  14. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    Lets wait mkuuu..
  15. jothamgo

    Kuitwa kazini TRA

    Hongera sana wazeeee.....!!!!!
Back
Top Bottom