Kupata kazi bila kujuana inawezekana

Kupata kazi bila kujuana inawezekana

Mungu huweka njia kila pale penye niaa....

Ukifanya juhudiii... utapata tuu..

God is good..
 
100% Nakubaliana na hilo mm cjujuana na m2 na nimepta kazi ila nilimtanguliza Mungu kwanza...
 
Mmmh! Me Naona Nimmoja Kwa Mia.It Doesn't Matter What You Know But Whom You Know!(by:Chinua Achebe)
 
ni kweli kabisa yani Mungu ni mwema kwa kila jambo na hata kama humjui mtu wala kuonga unapata ajira mradi uwe una vigezo
 
Mungu hufanya njia pasipo na njia...kama Mungu alikuwezesha katika masomo yako hata kazi pia atakuwezesha kupata.."ni muda tu"
 
Ni kwel kabisa kinachotufanya weng kutoamini ni jambo la wakati kwani wakati wa Mungu sio wa mwanadamu.weng tunapenda kupata ktk wakat wetu.
 
Nimesoma post hii..nashawishika kusema na kuungana na wanaokubali nguvu ya Mungu..Mimi nna kazi .nzuri yenye mshahara mzuri na sikujua hata mfagiaji..Mungu ndiye niliyemtanguliza..GPA nayo haikuwa ya kuchechemea..GOD is great niko far ahead kimaisha
 
Tang'ana usijali..nilikuwa najenga hoja tu..maana wengine wanaweza kufikiri Mungu anaweza kukusaidia kupata kazi ndogondogo..isikusumbue hiyo mistari ya chini..
 
Jamaa umeongea point nzito kweli..“wakati wa MUNGU si wakati wa binadamu"
 
Kweli Mungu ndo kila kitu tumtangulize katika kila jambo Mungu ni mwaminifu na anajibu kwa moto tukimtumaini yey e
 
Hi,hongera kwa kumtegemea Mungu ndugu.By the way tukumbuke na sisi ndugu thru links.Umepewa bure toa bure.Luka 6:38
 
Unapata, kama una vigezo wanavyovihitaji na nafasi bado zipo..
Pia inawezekana kama ukijiajili mwenyewe..
 
Back
Top Bottom