Recent content by Jostrick

  1. Jostrick

    Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

    Wakuu naomba kufahamu.. Kwa ninavojua mimi kwakua Vodacom imetoa umiliki wa 25% za hisa kwa wanahisa wake, basi 25% ya ile faida wanayoipata Vodacom (Net Profit) ndio itakayo gawanywa kwa walionunua hisa, kila mmoja kwa asilimia yake.... Sasa naskia wanasema Vodacom itagawa 50% percent ya faida...
  2. Jostrick

    Wadada tujifunze kuwa na kauli nzuri kijana atakapoonesha nia ya kukuchumbia

    unajua jinsia ya aliyeleta uzi bro, punguza kukurupuka
  3. Jostrick

    Tujuzane mitandao mingine ya kijamii

    Binafsi natumia pia Nairaland na Yahoo questions and answers, Karibuni
  4. Jostrick

    Tujuzane mitandao mingine ya kijamii

    Habarin wakuu, Najua watu tunajifunza mambo mengi mazuri kuhusu maisha kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii. Kupitia uzi huu tujuzane mitandao mingine yakijamii tunayo ifahamu mbali na Twitter, Facebook,JF, Instagram na Whatsapp.
  5. Jostrick

    Whatsapp status za kijanja

    Habarini wakuu.. Najua wengi humu ni watumiaji wa whatsapp, kwaio tutajiane whatsapp status unayoitumia sasa au uliyowahi kukutana nayo ukaipenda au ikakufurahisha..yangu ya sasa ni "Ninaipenda furaha lakin haidumu" karibuni...
  6. Jostrick

    Nawezaje kuapload prof picture bila cropping

    Habarin wakuu..Ni app gan yakuapload picha whatsapp bila ku crop, ambayo haita igawanya picha maratatu mfano;
  7. Jostrick

    How does it work?

    unatakiwa uwe funny kidogo..ladiez wanapenda kufurahishwa..so hakikisha convo yako haim.boi.. Ila ukiona no ushirikiano kabsaaa, piga chin maan hawa n wengi kuliko sisi[emoji19]
  8. Jostrick

    How does it work?

    Tunajua wanawake wanapenda care kutoka kwetu..so kupitia namba itakua rahisi kumjulia vihali vya hpa na pale..mwisho ataona unamjali alaf unamaliza pale kat
  9. Jostrick

    Tecno haisomi h na h+

    3g pekee bila h wala h+??
  10. Jostrick

    Tecno haisomi h na h+

    Ndio mkuu ilikua inaonyesha, ina wiki 2 sasa tangu h na h+ zipotee mazima
  11. Jostrick

    Tecno haisomi h na h+

    Asante mkuu, Speed ya internet ni nzuri tu kama mwanzo, tatizo ilikua inaonyesha h na h+ lakn wiki hizi mbili imeganda kwenye 3G na E pekee
Back
Top Bottom