Recent content by Joss

  1. Joss

    JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    mkuu Nelson Jacob lushasi njoo uendeleze uzi wako, umekaa kimya muda mrefu, sasa member wamebaki na mabishano na kashfa. Maana ya uzi inapotea.
  2. Joss

    JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Unataka kujua na kusaidika, au unaweka msimamo wako. Kama lengo lako ni kujua, unaweza kuelezwa hatua kwa hatua kimaandiko juu ya hoja zako zote. Kama ni kuweka msimamo, itakuwa vigumu hata kama malaika ashuke akueleze.
  3. Joss

    JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    1Timotheo 6:15-16 " .....yeye aliyehimidiwa Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana 16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, emekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa, wala hakuna mwanadamu aliyemuona wala awezaye kumuona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina"
  4. Joss

    JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Huu uzi sasa unaenda taratibu mno.
  5. Joss

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia, unaweza kujikuta wewe ni mmoja ya watu ambao Mungu aliwakataa hata kabla hawajazaliwa

    Ili kuwasaidia wale wanaoweza kupotoshwa na bandiko lako,.. Walio wa Mungu ni wale waliouacha uovu, kama ukisoma mstari mzima 2Timotheo 2:19, imeandikwa "Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake, Na tena kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu"...
  6. Joss

    JamiiForums Tanzania Jeshi la China lachangia amani na usalama barani Afrika

    Mada zako nyingi kama si zote ni kuisemea China mambo chanya. Yamkini upo kipropaganda zaidi katika mtandao huu.
  7. Joss

    JamiiForums Tanzania Tunaonewa sana

    Sasa wewe umeshatambua kuwa ni mfugo na unasubiriwa kuliwa, unachukua hatua gani? chomoka nje ya banda ukimbie.
  8. Joss

    JamiiForums Tanzania Mino Raiola Ana hali mbaya, ni wakala wa Pogba, Zlatan, Lukaku, Haaland, Balotelli

    Si kweli, yupo mahututi
  9. Joss

    JamiiForums Tanzania Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

    Hapo ndipo ulipoonesha kuwa hata ukipewa jibu hutaridhika, kwa sababu unaona bibilia inaingiza watu chaka, na wanaopeperusha watakujbu kwa mujibu wa bibilia. Kwa namna nyingine naona hukuuliza kupata jibu ila kuonyesha itikadi yako ya kiimani dhidi ya bibilia na Israel.
  10. Joss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBC: Jeshi la Msumbiji limemkamata Mtanzania ambaye ni kiongozi wa majihadi

    We ulitarajia awe raia wa nchi gani? Uovu ni wa mtu mwenyewe, hauhusiani na utaifa wake.
  11. Joss

    JamiiForums Tanzania Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    Mbona hasira sana, au na wewe ni mmoja wa kupigia watu kelele usiku?
  12. Joss

    JamiiForums Tanzania Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    We ndo unaona pesa ni kila kitu, ukipata unasumbua na wengine.
  13. Joss

    JamiiForums Tanzania Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    Achana na mawazo mgando.
  14. Joss

    JamiiForums Tanzania Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    Ningeandika uzi kuwa sina hela, inaonekana huna uelewa.
  15. Joss

    JamiiForums Tanzania Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    Kuna hii baa ya La Patrona, karibu na kanisa la Katoliki, Nkuhungu, Dodoma. Iko vizuri kimazingira ila inatupa kero wakazi wa jirani. Inapiga mziki mnene kila siku kuanzia mida ya saa nne hivi hadi saa kumi hivi usiku, tena yupo na DJ anapiga kelele mno. Kuna uzi uliletwa siku chache zilizopita...
Back
Top Bottom