Recent content by josiah k

  1. josiah k

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Timu 5 za ligi kuu NBC PL kugomea mechi zilizobaki hadi TPLB watakapojibu madai yao kuhusu hujuma waamuzi

    TFF na Bodi ya Ligi wanaharibu mpira kupitia waamuzi!
  2. josiah k

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Lean Feng Wang, mmiliki wa AI ya Deep Seek ambayo ni tishio kubwa kwa CHATGPT

    Teknolojia sio lazima wewe ndio uwe mgunduzi wa kwanza ili iweze kuwa Bora! Hata inapokuwepo na wewe ukaiboresha na kupendwa ni mageuzi pia ya teknolojia!
  3. josiah k

    JamiiForums Tanzania Col MAKANIKA auwawa na jeshi la FARDC

    Kama hawana asili ya Tanzania huku watakuja kufanya nini?
  4. josiah k

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ipo kati ya Palestine na Tanzania?

    Nadhani ni Kwa kuwa Tanzania tunapenda Haki! Wapelestina wamekuwa wakidai Haki na sisi tumekuwa tukiwaunga mkono!
  5. josiah k

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hawa Ukraine hata wafanyeje hawataweza kushinda hii vita! Zaidi utawala wa zelensk utaanguka na itakuja serikali nyingine ambayo itafanya mazungumzo ya amani na Urusi na mgogoro utaisha! Maeneo yaliyochukuliwa hayatarudi Abadan!
  6. josiah k

    JamiiForums Tanzania Umeshapanga nyumba ngapi mpaka sasa?

    Wapangaji na nyinyi kwenye nyumba za watu mnakuja na tabia zenu! Uzinzi mwingi ujuaji, kutokutaka kujishughulisha na chochote unapoishi zaidi ya kulipa Kodi! Bili zingine una malalamiko yasiyoishaHii hasa Hawa masela wanaotaka chumba kimoja! Unampangisha mmoja kesho unakuta wapo watatu au zaidi...
  7. josiah k

    JamiiForums Tanzania Urusi na Ukraine: Kwanini uongo unaonekana kuwa na nguvu kuliko uhalisia?

    Nchi za magharibi na USA Huwa wanaiona Dunia ya kimataifa ni kama watumwa wao! Wao hasa ndio wenye akili pekee na ndio wanapaswa waamue Dunia iendeje na ifate matakwa Yao! Kinyume na hapo wanakuona mbaya!
  8. josiah k

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda na William Malecela waburuzwa kizimbani kwa tuhuma za kudhulumu gari

    Jamani mdai si angechukua tu gari na amsamehe?
  9. josiah k

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa BRICS waleta fursa mpya kwa Afrika

    Huu ushirikisno naupenda Sana! Huu Sasa ndio ushirikiano usio na hila Wala ubaguzi!
  10. josiah k

    JamiiForums Tanzania Marekani na washirika wake EU wameisaliti Ukraine

    Wananchi wa Ukraine wanapaswa kuwa na sauti Moja kupingana na kiongozi wao kuhusiana na vita dhidi ya Urusi! Ama sivyo taifa lao linaenda kuwa taifa la ajabu duniani!
  11. josiah k

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza aandika kuhusu tozo za miamala na kodi ya majengo

    Hii mi-tozo na mi-kodi imekuwa too much! Viongozi wamekosa huruma kwa wananchi masikini!
  12. josiah k

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa kumaliza muda wa Ubalozi karibuni, aanza kuagwa na Diaspora

    Fadhila zina mwisho! Arudi nyumbani!
  13. josiah k

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Tanzania itapata haya...

    Kuna siku tutapata dawa na sio chanjo ya korona!
  14. josiah k

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

    Hili sio vazi rasmi la mtumishi wa umma akiwa ofisini! Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom