Coz zipo nyingi, pia wanaohotimu ni wengi, ni , achaguo Yao Nini wakasomee. Lakini sisi ambao tayar tumepita huko tujaribu kuwashauri Ili tusijazane wa kozi Moja huku mtaani[emoji24][emoji24][emoji24] ni shidaaa.
Ungetoa hata kapicha hivi tukaone, maana huku kwetu tukifika duka la dawa tunasema tu namba dawa za malaria hata hatujui effects. Lakini hapa najifunza jambo
Me nazani post za udini na promo za dini kwenye mitandao Wala hakibadilishi chochote, vifaa vyetu vya tehama tunavyotumia vina mambo mengi na mengine hata ayaendani na udini na nimabaya sawa na Yale tunayoyatenda(mungu pekee ndiye anayejua) na hao wanaopost aimaanishi kuwa wako safi, Bali...
Kama utapenda Nina kitabu kizuri Cha ujasiliamali kina masomo zaidi ya 20 ambayo yanahusu utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo hiyo ya sabuni ya maji. Kimeandikwa Kwa kiswahili.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Dah pole sana. Ingekuwa imeonesha BSOD na ujumbe ambao unasema "your computer is ran to a problem need to restart" ningekusaidia maana juzi tu ndio nimetoka kulitatua hilo tatizo la BSOD.
Kwa ushauri tu fungua then check ram. Na kama kuna slot 2 za ram jaribu kuchange slot.
Wakuu habari za wakati, nimeona niandike title hapo juu ili kusaidiana na kufundishana namna ya kuzirejesha pen drives with no media au corrupted. Shiriki nasi ujuzi wako wa namna unavyotatua tatizo hilo kwenye USB Flash drive.
Naomba kuwasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.