Muda mwingine huwa nikipata stress huwa napenda sana kwenda kanisan
Ila hii usemi naipenda sana
"Maisha yanafuraha San
Kila siku,kila saa,kila dakika,kila mwaka,kila tukio vyote hivi huwa vinapita,,,,hiv tusiangalie yaliyopita
Tugange yajayo "
Hvy hat strees vyote hupita
Yann tuteseke...
Hello ladies and gentlemen
I guess all you are fine
Dear m niko na kitu nauliza iv n biashara gani unaweza kuifanya kwenye Makambi ya wasabato ??
Thanks na karibuni kwenye Makambi
Salute San but tutumie matokeo ya jana ili kuitengeneza leo nzuri
Pia tutumie matokeo ya leo ili kuitengeneza kesho iliyo super zaidi [emoji123][emoji123][emoji123]
Hi friends,
Naomba mwenye elimu kuhusu ufugaji wa kuku kwa kuanza na kufuga vifaranga vidogo vidogo kabsa, naomb kujua;
1. Faida zake
2. Namna ya kuwa mama kuku au namna ya kuwalea
3. Athari zake
Thanks JF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.