Recent content by josephemanuel

  1. josephemanuel

    Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

    Huna sera nenda chekechea ukasome herufi ndo ulete mada zako za udini hapa
  2. josephemanuel

    Tuige hii desturi ya wachaga

    Jile unalosema ni upuuzi mtupu
  3. josephemanuel

    Tuige hii desturi ya wachaga

    Acha upuuzi mchangia mada fikiria mbinu mbadala za kuwa tajiri kama wenzaki
  4. josephemanuel

    Tuige hii desturi ya wachaga

    Hongera mtoa hoja pia mjinga ww uliyesema wachaga wezi ndio mnaokesha vijiweni mkibishana nani tajiri wakati zipo fursa za kufikia huo utajiri wa mwenzako.
  5. josephemanuel

    Askari polisi wawili wauawa Tabora kwenye tukio la ujambazi

    Poleni sana wafiwa na mungu awaangazie mwanga wa milele
  6. josephemanuel

    Mtakatifu John Paul II alipokuwa Tanzania

    Mungu airehemu roho ya papa mahali pema peponi AMEN
  7. josephemanuel

    Ney wa Mitego anatafutwa na polisi kwa kutishia kumuua rafiki yake wa karibu

    Hiyo ni kijana limbujeni na maisha ya umaarufu
  8. josephemanuel

    Nani mwenye akili kuliko Mwl Nyerere?

    Wote mpo sawa maana serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe ila Julius.k. Nyerere amejitahidi ila msiofikiria kwa undani ndivyo mzaniavyo kama mngekuwa nyinyi cjui mngekuwa mmetufanyia nini ?Hongera j.k.Nyerere wajukuu baadhi tunakukumbuka
  9. josephemanuel

    Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

    Ni jambo zuri ulilolitoa kwa upande wa wasichana wenzako ila nawe unapaswa kujitambua lulu wewe ni bado binti mdogo sana nimejaribu kufuatilia maisha yaki na nimetambua umrkuwa kiasi gani hivyo kutunza usichana wako ndo rasilimali ya kwanza ktk maisha ya msichana jifunze kupitia nyakati katika...
  10. josephemanuel

    Serikali tatu, CCM hoi mpaka UN

    Siitaji kuamini mnacho sema maana maisha kabla ya muungano sijui yalikuwaje kwa kutumia ufahamu wangu vijana wa kileo tumekuwa si wachujaji mambo hebu fikiria kama nyinyi wazazi wetu mnasema j.k nyerere aliiharibu nchi kwa vitu kamahivi c kweli kwani maisha ya kipindi kile ni tofauti sana na ya...
Back
Top Bottom