Recent content by josephat japhet

  1. josephat japhet

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kyerwa DC nije *Mwanza ( Ilemera au Nyamagana) # Dar es salaam Dodoma Jiji idara sekondali masomo Biology na chemistry Phone number: 0764033080
  2. josephat japhet

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo *Kyerwa DC Idara elimu sekondali ( Biology and chemistry) Nije** Mwanza Nyamagana au Ilemera ** Dar es salaam *****Dodoma jiji 0764033080
  3. josephat japhet

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kyerwa Kagera, Nije Mwanza Nyamagana au Ilemera Au Dar es salaam (Sekondali Somo ni Biology & Chemistry) Mawasiliano 0764033080
  4. josephat japhet

    Nimesomea Maendeleo ya Jamii ila mfumo wa Ajira Portal unanigomea kuomba kazi ya Ustawi wa Jamii cha kushangaza wanataka mtu aliyesomea Sociology n.k?

    Jana nilienda ofisi za sekretariat ya ajira hada dar es salaam, nikambiwa ofisi zimeambishiwa Dodoma hapo wamebaki watu wawili tu na wao hawatakuwepo hadi baada ya wiki mbili. Nilishangaa sana inawezekanaje ofisi ya selikari kufungwa hivo..
  5. josephat japhet

    Sekretariat ya ajira (PSRS)

    Nimesoma bachelor of education in science, nafasi ninayoomba ni mwalimu daraja la IIIC. Hii imetangazwa na NAOT, Na nikiangalia qualifications wanazozitaka minazo
  6. josephat japhet

    Sekretariat ya ajira (PSRS)

    Naomba msaada kwa wanaotumia huu mfumo wa kuomba ajira za serikarin. Mara kadhaa sasa Kila nikifanya application inafail nandikiwa. "Sorry! You can not apply for the job post, kindly Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post"" Hii inatokea hata kwenye post ambazo...
  7. josephat japhet

    Usanii fursa za ufadhili wa masomo (Masters na PhD) chini ya mradi wa TANIPAC (Tanzania initiative for preventing aflatoxin contamination)

    Unaweza kuuita ni usanii uliopangwa na watu wanaosimamia mradi wa TANIPAC unaofadhiliwa na bank ya maendeleo ya Africa. Watu hawa walihadaa watanzania kuomba ufadhili wa masomo hukuwakiwa na watu wao tayari wamewachagua. Habar za chini chini zinasema walikuwa na lengo la kukusanya mawazo ya...
  8. josephat japhet

    USHAURI: Walimu wakatwe mishahara tuwaongezee Wahudumu wa Afya

    Hivi mtoa mada unaubongo kichwani au matope Sent using Jamii Forums mobile app
  9. josephat japhet

    Ku-trace lacation ya numba ya simu

    Sawa kiongozi nipo naelekea mawasiriano... Umeniambia niende ofisi gani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. josephat japhet

    Ku-trace lacation ya numba ya simu

    Okey sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. josephat japhet

    Ku-trace lacation ya numba ya simu

    Asante kiongozi nimekuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. josephat japhet

    Ku-trace lacation ya numba ya simu

    Habari wadau, naomba kujua nifanyaje ili niweze ku-trace location ya namba ya simu iliyonipigia au ninayoipigia. Natakiwa kufanyaje au niwe na nini ili kufahamu mtu huyo yupo wapi. Nisaidieni wadau nimetapeliwa kwa simu aise Sent using Jamii Forums mobile app
  13. josephat japhet

    Analytical Chemistry

    Asante mkuu... Fee ni Tsh ngap?
  14. josephat japhet

    Analytical Chemistry

    Naomba kujuzua ni chuo gani kinatoa masters ya analytical chemistry hapa nchi na gharama zake
  15. josephat japhet

    Humphrey Polepole: Mwaka 2018 ndio mwisho kwetu kufanya Chaguzi Ndogo za Ubunge kwa wale wanaohama vyama vyao na kujiunga na CCM

    Kwa kweli sifuraishi na baadhi za mambo yanayofanywa na CCM. Ila kwa upande mwingine bado sijaona chama mmbadala kuiongoza Tanzania yetu. Bora katiba ibadilike tuje na mgombea binafsi.
Back
Top Bottom