Hivi Heche kama makamu mwenyekiti anahusikaje kwenye fedha za chama? Wakati katibu yupo ,mwanasheria wa chama yupo ,mweka hazina yupo na boardy ya washamini ipo. Kwahiyo hao wote amewaapitaje na akaenda kutowa hela kwwnye account ya chama kwa matumizi yake binafusi? Hivi mbona wnao sambaza...
Ujinga na upumbavu haundoki kwq kwenda shule peke yake. Mtu kama Rose Mgiro anakuwa mpumbavu wa kiwango hiki pamoja na elimu na exposure yote aliyo kuwa nayo. Kweli watanganyika tunahitaji revolutionary 7/7/2027
Tunahitaji katiba mpya haiwezekani wananchi masikini wa jimbo lake wamlipo mshahara wa kujenga hotel kama hii huku wao wakiwa masikini wa kutupwa. Hata shule zao na hospital zote kwenye jimbo zima hazina thamani ya hii hoteli. Lukuvu maisha yake yote amekuwa serikalini huo mda wa kufanya...
Shida mna stress wote kwasababu ya kutaka mtoto. . Chakufanya mnatakiwa mtafute kitu mnacho furahiya kufanya kwa pamoja. Halafu focus kufurahishana na sio kutafuta mtoto. Kwanini statute mchepuka wa kuzaa naye ila usimwache mke wako ili angarau ujuwe tatizo liko upande gani. Hao wataalamu...
Hakuna kinacho weza kufichwa na vilaza wa serikali ya ccm kisionekane.hata Hitler ambaye alikuwa na wanascience nguli alishindwa kuficha ,hao vilaza wasio juwa hata kudown load whatsap ndio fwafiche miili zaidi ya 20,000?,
Mimi nashauri watu wasiogope watume tu kwa wingi ili hao wajinga serikali washindwe wamkamate nani. Watu wakituma kwa wingi hao wauwaji watashindwa ku fuwatilia maana wataona kuwa kutisha watu hakufanyi kazi tena. Mkiogopa kutuma ndio mnawapa nguvu za kuendelea kuwauweni na kuwangandamiza...
Habari zenu ndugu zangu watanzania. Leo naomba tujadili unyama wa serikali ya ccm na washiriki wake.
Tanzania ni nchi yenye majabu sana ila October 29, 2025 kuna upumbavu na ujinga ambao umeonekana wazi wazi kwenye macho ya dunia ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa kwenye nchi yoyote hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.