Ndugu zangu, mimi ni kijana ninayetamani kusoma lakini hali ya kiuchumi sio shwari.
Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo. Ninaombeni ufadhili nikasome, pia nikasome kozi gani kati ya hizi.
1. Medical laboratory science. Lugarawa na Rucu
2. Petroleum...
Clinical dentistry ina future ila sema chuo ulichopata sio kizuri. Kama unajiweza kifedha kapige shule, ila mwakani ufanye mpango wa kuhama.
Pia kwa kozi hiyo diploma unapata mkopo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.