Recent content by Joseph Mg Lucas

  1. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mfadhili wa CHADEMA Musoma mjini atimkia ACT-Wazalendo

    huyo mchumia tumbo hajawahi kushiriki kazi yoyote ya chama wala kuisaidia chadema hata senti tano
  2. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mfadhili wa CHADEMA Musoma mjini atimkia ACT-Wazalendo

    hivi tangu lini Eliud Tongora alikuwa mfadhili wa chadema? habari nyingine ambayo imetia fola ni hii,Tongora hajawahi kutoa hata senti tano ndani ya chama wala kufanya mikutano au kushiriki shughuli za kujenga chama.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mahesabu haya, UKAWA mtatandikwa vibaya na CCM

    tumia akili CDM wanaopiga kura ni wajumbe tu,ambao ni viongozi wa kata mwenyekiti na katibu wake wa kata
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    CCM mnaweweseka kutengeneza akaunti feki jina lenyewe mmeshindwa kuandika "Willibrord"?maajabu ya karne
  5. J

    JamiiForums Tanzania Eliud Tongora kuipeleka CHADEMA Mahakamani

    nipe ripoti hiyo kesi umeshinda?njaa ni mbaya sana itakumaliza
  6. J

    JamiiForums Tanzania Njama za kuhujumu upinzani zabainika

    FISIEM imeamua kutumia mbinu mbovu,CHADEMA ni chama makini kisichoteteleka kwa mamluki
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere: Mbunge wa 'hovyo' kuwahi kutokea Musoma mjini

    hilo ni gamba lisikusumbue kichwa limekula sana nyoka wa kichina mpaka mawazo yake yamekaa kinyoka nyoka
  8. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    hizi ndizo ahadi alizotimiza
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prof Jay na Vincent Nyerere kutikisa Musoma Mjini Jumapili 05 Julai, 2015

    nguvu ya umma inafanya kazi j3
  10. J

    JamiiForums Tanzania Picha:Mbunge wa CHADEMA Vincent Nyerere azidi kuitesa CCM mkoa wa MARA

    ni mwendo wa kuwafuta magamba
  11. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    .........loading
  12. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    ukimsikia Mbowe jasho linakutoka kuanzia kichwani mpaka kwenye makalio
  13. J

    JamiiForums Tanzania CCM yakusanya fisi ili kuboresha mahudhurio

    huo ni uchawi wa mchana mchana
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM wapata aibu ya mwaka Musoma Mjini

    ccm ni wepesi kuliko hata pamba
Back
Top Bottom