Recent content by Joseparty

  1. J

    Rais Magufuli wewe ni Rais wetu sisi sote Watanzania. IGP Sirro hafai ukiapishwa teua IGP mwingine

    Kwa Sheria za Tanzania hakuna haki ya Raia kuuwawa tena asiye na hatia eti kwa sababu tu ana interest na chama kingne, na upinzani sio Uadui kama inavyotazamwa kwasasa kwahiyo usihalalishe mauaji ya watu tena kwasababu nyepesi kama hiyo
  2. J

    Nimemfumania mpenzi wangu, lakini bado nampenda. Nifanye nini?

    Daaa nmecheka san kwamba pesa ikikosa atafute mkwara
  3. J

    Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

    Mmmh! naamn katka biashara ila ningepata mchanganuo wahili ingependeza naamn inawezekana
  4. J

    Wasalam, wakuu naombeni kujua gharama za miamala ya NMB (ATM)

    Naomba niongeze swali, kiwango chajuu kutoa kwenye ATM kwa siku ni kiasi gan!?
  5. J

    Utamshawishi mpenzi wako ajiunge na Jamiiforums?

    Umeifanya cku yangu kukamilika kwakicheko San duuu umetisha had mwisho
  6. J

    Nina Milioni 45, msaada wanaJF

    Kulingana namazingira yako yakaz naupeo wako wabiashara hii ndo biashara sahihi ambayo haitakutesa ninaiamin asilimia 100% kama sio mpunga nunua mahindi weka stoo hiyo pesa kama isipojidouble itaongezeka zaidi ya asilimia Sabin, nalogic ni ndogo tu saiv mahind bado yan 7000. Nunua mifuko...
  7. J

    Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

    Kuna mwalimu kule kaunga mkono bhana hii nchi alieiloga cjui alitumia dawa gan Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

    Kazi ipo kwastyle hii walim tusitafute mchawi wetu tunajiloga wenyewe ama alietuloga ameshakufa ktambo wengne wanalilia muda sisi tunaona muda upo mwingi mpaka wakupoteza!!! Duuu hapa kaz ipo mimi pia ni mwalim lakn hili siliungi mkono labda kama kunamajukum yakuinua taaluma tunaenda kufanya...
  9. J

    Nitapataje mkopo? Dhamana yangu ni nyumba

    Hahahaaa jamaa anadhan wote walivumilia umande wengne wana KKK kama Mh Msukuma Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Kuna mifuko yakinga njaa hiyo ndio kazi yake kwamaeneo mengi inapatkana kwabei ya 5000 itafte hyo inahfadhi kias had debe sita ipo iliyoandikwa PICS na ina nyron mbili kwa ndani hiyo ni. Mizur zaid kama utahtaj ming ni pm tuyajenge Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    Najitolea bure kufanya matibabu kwa watu watakaokuwa tayari

    Kwasabab lengo la uzi ni utan bac umefanikiwa kuburudisha bigup san Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nambie kaka connections zamahind Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    Uzi huu maalumu kwaajili ya kujifunza Ujasiriamali

    Nahtaji somo lakutengeneza hyo sabuni yavipande pia mwalim nakufuatilia vzur san Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    Ukiwa na Milioni 10 kijijini mfano Kahama, Nzega, Igunga na Geita fanya biashara ifuatayo ukimtegemea Mungu

    Hii nibonge ya business mm nakusanya mahind muda wa mavuno kwabei ya 5-8 kwa wakulima ndani ya miez minne bei inaanzia 14 faida asilimia 100, nikichukua gunia 100 kwa wastan wa35 ni 3500000 nkiziuza ni 7000000 hii haina stress Mkuu nakuunga mkono 100% Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom