Hamisi Mhoja
Member
- Nov 22, 2019
- 22
- 23
Biashara ya mazao mfano Mpunga,Nunua Mpunga gunia 180@52000/=Yaani kijijini katika kipindi cha mavuno mwezi wa sita mpaka wa saba bei huwa haizidi 50000 kwa hiyo 52000 namaanisha na usafiri hata mifuko.
Jumla ya gunia hizo ni Tsh. 9360000/=Lakini uwe na Shughuli nyingine ya kukupatia Pesa za matumizi madogomadogo mfano sabuni na pesa za matibabu n.k.Kaa miezi sita au saba tafuta soko uza kwa Tsh. 75000/=tu au ikiwa zaidi Hapo utapata Tsh.
13 500 000/=Hapo utakua umepata faida ya Tsh. 4 100 000/=kwahiyo kwa mwezi utakua umeingiza zaidi ya 600 000/= ambayo hii itakua bila mawazo kama biashara zingine Japo hata biashara zingine na zenyewe zina faida.
Huu ni ushauri wangu Kikubwa Kuomba Mungu akapisha matatizo katika familia na ndugu.Mwenye kuongezea mawazo na ushauri naruhusu. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app