Recent content by josefast

  1. josefast

    JamiiForums Tanzania "Kifungo cha nje" kwa "Lulu": Haki imetendeka au ni ‘Mockery of Justice’?

    Mkuu insta hupatikani kulikoni Evarist Chahali
  2. josefast

    JamiiForums Tanzania Suala la Managing Director wa Vodacom linafichwa ukweli wake

    Pumbavu sana bora hata huyo mkenya Sisonje tunaye mzawa tizama anavyotusumbua
  3. josefast

    JamiiForums Tanzania Sauti Kubwa: Magufuli anatumia uwanja wa ndege Chato “kupiga dili”?

    Inawezekana JPM ni fisadi kuliko hata Lowasa
  4. josefast

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Ukiona hivyo ujue wanahoja ya msingi...wasikilizwe Magufuli akipona kwenye hili akatoe sadaka
  5. josefast

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Ameyataka mwenyewe ajirekebishe ubabe zama hizi hauna maana
  6. josefast

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi Lizaboni na Fayza foxy?

    Bla kumsahau Chris lukosi
  7. josefast

    JamiiForums Tanzania Masaa 48, Maandamano ya Mange yaweza kufanikiwa?

    Yaani sizonje for nw atakuwa kweli anajuta kwanini alikubali kuchukua fom ya uraisi
  8. josefast

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi Lizaboni na Fayza foxy?

    Yaan faiza foxy na Ritz sijui wamepatwa na ninii? au wamekuwa kama Mange?
  9. josefast

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Takribani watu 7 wanashikiliwa na Polisi kwa Mahojiano kwa kuhusishwa na 'Maandamano ya Aprili 26'

    Maaskari mnamikwara furahishi ati serkali haijaribiwi
  10. josefast

    JamiiForums Tanzania Marekani nayo yatoa tahadhari kwa raia wake kuhusu maandamano ya tarehe 26/4/2018

    Mzee wa chato akikubali kutolewa atakuwa ameingia kwenye historia ya aina yaake...akipona kwenye hili inabid abadilike zama hizi ubabe hauna tija...raisi wa nnchi ndie no1 man nchin...truly anapoelekea nifrom hero to zero
  11. josefast

    JamiiForums Tanzania Marekani nayo yatoa tahadhari kwa raia wake kuhusu maandamano ya tarehe 26/4/2018

    Mkuu usipanic kupeana tahadhar ni jambo muhimi nafikiri situkwa raia wageni bali hata kwa wenyeji ambao hawatapenda kuingia matatzoni.
  12. josefast

    JamiiForums Tanzania Gharama mpya za kununua umeme wa LUKU hizi hapa!

    Mkuu sisi wenye mashine za selcom commission imepungua hatariii.....kabla ya gharama mpya kwa kla 10k commission 250 kwa sasa haifiki hata 10k
  13. josefast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wana roho mbaya?

    Hyo ndo hali halisi kunawatu wajinga sana wanapenda kuleta mazoea kwenye pesa
  14. josefast

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais Magufuli unaanza "kutuangusha" tuliokuunga mkono na kukutetea mitandaoni, zingatia haya machache ili ututie moyo

    La kujitoa OGP hata mimi nilshangaa....from hero to zero
Back
Top Bottom