Ni mfano kama unakerwa weka sukari badala ya saloonYour thread is worth reading. Lakini kusema mwenye saloon atatumia Tshs. 100,000 kwa siku is unrealistic.

Matumizi nje ya bajeti. .... Jamani tumeshajibiwaMi nahitaji kujua zile 1.5T zimeenda wapi basi, mengine mtajua wenyewe
...Na kila sehemu ya mwili! Mau Mivuuuuuu!Maumivu Kila idara
Ujumbe huu ungekuwa wa manufaa kama ungeeleza hiyo 1.1% ni kwa lengo gani. Kama ni kwa ajili ya makampuni ya simu, yuko sahihi maana wanapofaidika na biashara ya ziada zaidi ya miito lazima walipe. Kwenye biashara zingine kama ----- pesa wanalipa, kwa nini LUKU wasilipe? ktk Ulipaji huo kwa manufaa yao watajidai kuiacha iende kwa mnunuzi, jambo ambalo ni ujinga wa makampuni ya simu.Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kupepesa macho. Tangu kampuni za simu za mkononi zivumbue njia mpya ya kununua umeme wa LUKU bure kupitia mpesa, tigo pesa, airtel money, etc, ununuzi wa umeme umekuwa rahisi sana. Ununuzi wa umeme unaweza kufanyika muda wowote, iwe usiku au mchana au wakati hali ya hewa inapokuwa mbaya, kwa mfano, wakati wa mvua. Mtu kulala giza wakati una salio kwenye mpesa, tigo pesa au airtel money, ni kujitakia mwenyewe.
Baada ya serikali ya awamu ya tano kugundua kwamba wananchi wanafaidi bure huduma hii ya kununua umeme, ambayo kimsingi serikali haichangii chochote, serikali tukufu ya awamu ya tano, wameamua kuwakamua wananchi bila shuruti na bila sababu zozote za msingi. Mwanzoni huduma hii ilikuwa ikipatikana bure kabisa lakini sasa wananchi wanyonge watahitajika kukamuliwa 1.1% ya gharama za kununua umeme. Hii ni mbali na 18% VAT, 3% REA na 1% EWURA tunazokamuliwa kila kukicha.
Serikali hii inayojinasibu kuwajali wanyonge imeamua, kwa makusudi kabisa, kuwaongezea wanyonge mzigo wa gharama za maisha kwa kuwakamua zaidi fedha kidogo walizobaki nazo mifukoni mwao. Sijawahi kuona serikali yenye roho mbaya kwa wananchi wanyonge kama serikali hii ya awamu ya 5.
Kwa wale ambao hamfahamu mzigo wa 1.1% ya gharama za kununua umeme, itabidi twende taratibu mpaka muelewe. Kwa mfano, mwananchi anayemiliki kiwanda kidogo kama saluni, hutumia umeme usiopungua Tsh 100,000 kwa siku. Hivyo, atalazimika kukamauliwa Tsh 1100 kwa siku, sawa na Tsh 33,000 kwa mwezi = Tsh 396,000 kwa mwaka = Tsh 3,168,000 hadi awamu ya kwanza ya utawala wa serikali ya awamu ya 5 itakapoisha. Ikiwa gharama zitaendelea kubaki kama zilivyo hadi mwaka 2025, mwekezaji huyu wa kiwanda kidogo atakuwa amekamuliwa jumla ya Tsh 15,840,000 (shilingi milioni kumi na tano, laki nane na elfu arobaini).
Namba huwa hazidanganyi. Hapa ndipo hii serikali yetu ya viwanda ilipotufikisha. Mantiki ya gharama hizi mpya haifahamiki vizuri kwa wananchi wengi kama ilivyo kwa makato ya VAT, EWURA na REA. Kwa gharama za ajabuajabu kama hizi, viwanda vitaendeshwaje katika nchi hii? Hapa nimetolea mfano mdogo tu kwa mwekezaji mdogo anayemiliki kiwanda cha saluni ya nywele. Ikiwa hali ndiyo hii kwa wawekezaji wadogo, je wawekezaji wakubwa kama akina Dangote si wataikimbia nchi?
Ifike wakati serikali hii iwaonee huruma wananchi wapatao milioni 65 wanaoishi maisha magumu katika nchi hii. Kampuni za simu zina huruma zaidi kwa wananchi kuliko serikali yao kandamizi inayowakamua fedha bila huruma kila kukicha. Kampuni za simu ziliona ni busara huduma hii itolewe bure lakini serikali hii imeona wanachi wanafaidi sana hadi kufikia uamuzi wa ajabu kuwakamua fedha zaidi bila sababu za msingi. Inauma sana.
Bandiko lako lako linavutia lkn plz ondoa hisia unapoandikaNaingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kupepesa macho. Tangu kampuni za simu za mkononi zivumbue njia mpya ya kununua umeme wa LUKU bure kupitia mpesa, tigo pesa, airtel money, etc, ununuzi wa umeme umekuwa rahisi sana. Ununuzi wa umeme unaweza kufanyika muda wowote, iwe usiku au mchana au wakati hali ya hewa inapokuwa mbaya, kwa mfano, wakati wa mvua. Mtu kulala giza wakati una salio kwenye mpesa, tigo pesa au airtel money, ni kujitakia mwenyewe.
Baada ya serikali ya awamu ya tano kugundua kwamba wananchi wanafaidi bure huduma hii ya kununua umeme, ambayo kimsingi serikali haichangii chochote, serikali tukufu ya awamu ya tano, wameamua kuwakamua wananchi bila shuruti na bila sababu zozote za msingi. Mwanzoni huduma hii ilikuwa ikipatikana bure kabisa lakini sasa wananchi wanyonge watahitajika kukamuliwa 1.1% ya gharama za kununua umeme. Hii ni mbali na 18% VAT, 3% REA na 1% EWURA tunazokamuliwa kila kukicha.
Serikali hii inayojinasibu kuwajali wanyonge imeamua, kwa makusudi kabisa, kuwaongezea wanyonge mzigo wa gharama za maisha kwa kuwakamua zaidi fedha kidogo walizobaki nazo mifukoni mwao. Sijawahi kuona serikali yenye roho mbaya kwa wananchi wanyonge kama serikali hii ya awamu ya 5.
Kwa wale ambao hamfahamu mzigo wa 1.1% ya gharama za kununua umeme, itabidi twende taratibu mpaka muelewe. Kwa mfano, mwananchi anayemiliki kiwanda kidogo kama saluni, hutumia umeme usiopungua Tsh 100,000 kwa siku. Hivyo, atalazimika kukamauliwa Tsh 1100 kwa siku, sawa na Tsh 33,000 kwa mwezi = Tsh 396,000 kwa mwaka = Tsh 3,168,000 hadi awamu ya kwanza ya utawala wa serikali ya awamu ya 5 itakapoisha. Ikiwa gharama zitaendelea kubaki kama zilivyo hadi mwaka 2025, mwekezaji huyu wa kiwanda kidogo atakuwa amekamuliwa jumla ya Tsh 15,840,000 (shilingi milioni kumi na tano, laki nane na elfu arobaini).
Namba huwa hazidanganyi. Hapa ndipo hii serikali yetu ya viwanda ilipotufikisha. Mantiki ya gharama hizi mpya haifahamiki vizuri kwa wananchi wengi kama ilivyo kwa makato ya VAT, EWURA na REA. Kwa gharama za ajabuajabu kama hizi, viwanda vitaendeshwaje katika nchi hii? Hapa nimetolea mfano mdogo tu kwa mwekezaji mdogo anayemiliki kiwanda cha saluni ya nywele. Ikiwa hali ndiyo hii kwa wawekezaji wadogo, je wawekezaji wakubwa kama akina Dangote si wataikimbia nchi?
Ifike wakati serikali hii iwaonee huruma wananchi wapatao milioni 65 wanaoishi maisha magumu katika nchi hii. Kampuni za simu zina huruma zaidi kwa wananchi kuliko serikali yao kandamizi inayowakamua fedha bila huruma kila kukicha. Kampuni za simu ziliona ni busara huduma hii itolewe bure lakini serikali hii imeona wanachi wanafaidi sana hadi kufikia uamuzi wa ajabu kuwakamua fedha zaidi bila sababu za msingi. Inauma sana.
Piga na gharama za bundle/kupiga simu kwa siku x mwezi x mwaka ndipo utajua umeme ni afadhali kuliko gharama za simu lakini kwa kuwa tunawajua ni watu wa kuipaka matope serikali kazi mnayotumwa na mwenyekiti Dj Kim Il Sung mnajitoa ufahamu,kama unaona gharama weka umeme jua,sio unatoa machozi ya unafiki hapa,kwenda zako hukoNaingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kupepesa macho. Tangu kampuni za simu za mkononi zivumbue njia mpya ya kununua umeme wa LUKU bure kupitia mpesa, tigo pesa, airtel money, etc, ununuzi wa umeme umekuwa rahisi sana. Ununuzi wa umeme unaweza kufanyika muda wowote, iwe usiku au mchana au wakati hali ya hewa inapokuwa mbaya, kwa mfano, wakati wa mvua. Mtu kulala giza wakati una salio kwenye mpesa, tigo pesa au airtel money, ni kujitakia mwenyewe.
Baada ya serikali ya awamu ya tano kugundua kwamba wananchi wanafaidi bure huduma hii ya kununua umeme, ambayo kimsingi serikali haichangii chochote, serikali tukufu ya awamu ya tano, wameamua kuwakamua wananchi bila shuruti na bila sababu zozote za msingi. Mwanzoni huduma hii ilikuwa ikipatikana bure kabisa lakini sasa wananchi wanyonge watahitajika kukamuliwa 1.1% ya gharama za kununua umeme. Hii ni mbali na 18% VAT, 3% REA na 1% EWURA tunazokamuliwa kila kukicha.
Serikali hii inayojinasibu kuwajali wanyonge imeamua, kwa makusudi kabisa, kuwaongezea wanyonge mzigo wa gharama za maisha kwa kuwakamua zaidi fedha kidogo walizobaki nazo mifukoni mwao. Sijawahi kuona serikali yenye roho mbaya kwa wananchi wanyonge kama serikali hii ya awamu ya 5.
Kwa wale ambao hamfahamu mzigo wa 1.1% ya gharama za kununua umeme, itabidi twende taratibu mpaka muelewe. Kwa mfano, mwananchi anayemiliki kiwanda kidogo kama saluni, hutumia umeme usiopungua Tsh 100,000 kwa siku. Hivyo, atalazimika kukamauliwa Tsh 1100 kwa siku, sawa na Tsh 33,000 kwa mwezi = Tsh 396,000 kwa mwaka = Tsh 3,168,000 hadi awamu ya kwanza ya utawala wa serikali ya awamu ya 5 itakapoisha. Ikiwa gharama zitaendelea kubaki kama zilivyo hadi mwaka 2025, mwekezaji huyu wa kiwanda kidogo atakuwa amekamuliwa jumla ya Tsh 15,840,000 (shilingi milioni kumi na tano, laki nane na elfu arobaini).
Namba huwa hazidanganyi. Hapa ndipo hii serikali yetu ya viwanda ilipotufikisha. Mantiki ya gharama hizi mpya haifahamiki vizuri kwa wananchi wengi kama ilivyo kwa makato ya VAT, EWURA na REA. Kwa gharama za ajabuajabu kama hizi, viwanda vitaendeshwaje katika nchi hii? Hapa nimetolea mfano mdogo tu kwa mwekezaji mdogo anayemiliki kiwanda cha saluni ya nywele. Ikiwa hali ndiyo hii kwa wawekezaji wadogo, je wawekezaji wakubwa kama akina Dangote si wataikimbia nchi?
Ifike wakati serikali hii iwaonee huruma wananchi wapatao milioni 65 wanaoishi maisha magumu katika nchi hii. Kampuni za simu zina huruma zaidi kwa wananchi kuliko serikali yao kandamizi inayowakamua fedha bila huruma kila kukicha. Kampuni za simu ziliona ni busara huduma hii itolewe bure lakini serikali hii imeona wanachi wanafaidi sana hadi kufikia uamuzi wa ajabu kuwakamua fedha zaidi bila sababu za msingi. Inauma sana.
Nimejaribu kuangalia kwenye Umeme nilionunua Jana kuona hiyo % anayosema myoa mada sijaona naomba mnieleweshe hiyo gharama iko wapi?Mtoa post ulitaka kutuonyesha bei ya umeme au mgawanyo wa pesa pindi unaponunua umeme. Sijakuelewa naona tu unajenga hoja badala ya kutuonyesha bei za umeme kama zimebadilika kama kichwa cha habari hapo juu. Tujadili mambo muhimu kama.ni siasa sema tukupatie mchango uende wenzio wako Dodoma
Inawezekana waliopewa tenda ni wakwetu zamu zamu na ndiyo dunia ilivyo hata mvua zinanyesha kwa majira majira yetu masika yenu ilikuwa vuli tuacheni tupalilie shamba subiri mavuno ni yetu sotemtoa mada umesahau, achana na hayo maasilimia ya keep constant.
Iko hivi siku hizi nikiwa na 30,000/= mkononi nkienda kwa wakala kununua umeme wa hio pesa inabidi nimuongeze miatano yakwake kama wakala au ninunue umeme wa 29500/= hio miatano inabaki kwake
kumbuka hapo bado sijakatwa hayo makodi unayoyasema,
kuna mtu alikuwa na elfu tano kwa tigo pesa akataka kununua umeme wa elfu tano haikuwezelana akalazimka kununua wa elfu nne alakatwa elfu moja, hapo bado hayo makodi kodi
zaman haya mambo hayakuwepo kabisa au ni huku tu wakuu , huko kwenu vipi?
Ametolea mfano, kuwa muelewa mkuu acha papala kuandika bila kuisoma vizuri thread.Your thread is worth reading. Lakini kusema mwenye saloon atatumia Tshs. 100,000 kwa siku is unrealistic.
Nadhani hapo kwa red ulimaanisha salon...Your thread is worth reading. Lakini kusema mwenye saloon atatumia Tshs. 100,000 kwa siku is unrealistic.