Tutalaumiana sana kwa hili kwa hatua hii tuliyofikia. Wengine watamlaumu Jecha Salum Jecha, wengine watamlaumu Kikwete kwa kutoingilia mgogoro huu wa kisiasa na hata wengine watalaumu Maalim Sefu kwamba kungangania kwake madaraka ndiyo kumetofikisha hatua hii.
UKWELI wa mambo ni huu: Kosa...
Jambo la kushangaza ni kwamba mshahara wa raisi wa nchi uko kwenye scale au anaamua kwa utashi wake alipwe kiasi gani pale anapoingia ikulu? Kila siku tunasema hapa kwamba ikulu ni taasisi inayotakiwa iendeshwe kwa taratibu za kiutumishi, sasa inakuwavipi mtangulizi wako alipwe dola...
Malinzi ni shida tangu alipoingia TFF..... kwanza alienda kupanga ofisi PPF Tower kwa kuona kukaa ofisi za Karume ataonekana kama yeye siyo CEO ni lazima akakae na MA_ CEO wenzake posta. Pili akafanya ubadhirifu wa kutisha kwa kizingizio cha kutafuta vipaji nchi nzima... matokeo yake zoezi zima...
Hii dhana kwamba umaskini utaondolewa kwa kugawia maskini fedha siyo sahihi kabisa. Money is given to entrepreneurs.. who in turn invest it and employ the rest. Kugawia watu tzs 100,000 mpaka Tzs 300,000 siyo dawa ya kuwaondolea umaskini. Watazila tu
Tanzania tuna bomba la kusafirisha mafuta kupeleka Zambia mpaka sasa hivi kuna faida ya kipekee sana ambayo nchi inaweza kujivunia kwa bomba hilo kupita katika ardhi yetu. Nchi hii ina resources nyingi sana za kuifanya ipae kiuchumi... agriculture, tourism, mining, to mention a few. Kama Kenya...
item namba 16, -shilingi 5,124,997,500 hapa ndiyo naona kama kuna wasiwasi. Hizi ni fedha wanazopewa wabunge kuhonga wapiga kura. I wonder if these money are audited
Naopongeza utaratibu huu. Kwani taarifa kuhusu mapato na matumizi ya kodi ni incentive kwa walipa kodi
Halafu mwisho wa mwaka pia wanaweza ku- consolidate hizi taarifa wananchi wakajua kwa mwaka zimekusanywa shilingi ngapi, sekta zipi zimetumia fedha nyingi, na wapime value for money kwa...
UKAWA wanacheza mchezo wasioujuwa. Kuna dhana kwamba any money coming from the government in form of a loan is a gift. Kama UKAWA wanataka mpango huu uwe sustainable wangetafuta MFI (micro finance institutitions) wakawapa hizo hela na kuwaagiza wawakopeshe akina vikundi hivyo kwa riba ya chini
Matajiri wengi wa Kiafrika wakieleza historia zao huwa wanaeleza jinsi walivyopata shida na shughuli za ajabu ambazo walikuwa wanafanya kabla ya maisha yao kubadilika. Kuna Mzee mmoja ambaye mambo yake kwa hali ya tanzania unaweza kumwita tajiri nilizungumza naye na akanieleza yeye alianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.