Takiribani miezi sita sasa kumekuwa na mvutano kati ya RC na madereva tax wa Arusha kufuatia agizo alilotoa mkuu huyo wa mkoa kutaka magari yote yanayofanya biashara ya tax kupiga mstari na kuwa na plate namba nyeupe, agizo hilo lilikuja sambamba na ukamataji wa magari hayo aliyoyaita tax bubu.
Kufuatia agizo hilo la mkuu huyo kumekuwa na kamata kamata endelevu tangu mwaka jana mwezi July hadi leo hali iliyosababisha baadhi ya tax hizo kupaki magari yao na kuinyima serikali mapato ya kodi vilevile kupeleka njaa katika familia zao, kuna wale ambao walitii amri ya mkuu huyo lakini wengine wakimtaka na kumshauri kusikiliza maoni yao juu ya muonekana wa tax unaendana na jiji la Arusha.
Maoni yao yalikuwa hivi, na sababu zao ni izi hapa.
Kufuatia biashara hii kuwa ngumu kwa sababu ya kuingiliwa na pikikipi walikuwa wanamuomba mkuu huyo wa mkoa kuwe na muonekano wa tax aina mbili,
(1) ni wale waliopiga mstari.
(2) kuwe na tax zinatumia stika.
Yaani utengenezwe mfumo utakaotambulisha gari hizo kwa stika sambamba na namba ya utambulisho na kulipa kodi ya mapato kama kawaida.
Hii ni inatokana na wateja wao wengi hawapendi kupanda magari yaliyopigwa mstari hivyo biashara hiyo kuwa ni ngumu.
Mkuu wa mkoa please fanya kazi kwa ushirikiano kwenye swala la maendeleo, command haifai, wote tunajenga na kulisukuma gurudumu hili la maendeleo.