sijui kama nimemwelewa peke yangu. Maana hajasema atagombea amesema ameshawishiwa na bado anatafakari. Sio kosa kwa wanaohc anafaa kumuunga mkono kabla hajaamua lakini mnao pinga..... Pingeni kwa hoja basi ili mueleweke na muwaeleshe wengine vinginevyo kama hamuwezi mtakuwa hamujielewi.
Busara ni kuzungumzia huo upuuz unaouona kwake na kwa hao unaowaona wengine na unavyofanana. Tujadili hoja kwa hoja sio kwa matusi unless una mgombea wako ambaye unaona ujio wa january ni tishio kwake
Ni zaidi ya huko maana kumuunga mkono ni kumuunga mkono shetani kwa kusahau shida alizobabisha kwa watz maskini kwani pesa alizoiba anazosimbaza sasa zingetumika kutuendeleza kipindi kile tungekuwa mbali.
Bila shaka we n mmoja waliochukua pesa za haraka. Kama una akili kichwan na hufikirii kwa kutumia makalio huwez kumuunga mkono fisad ambaye kila alipogusa utajr ulipaa kutisha. Sijasahau machungu ya rich monduli aafu leo anathubutu kufanya mikakati ya kugombea urais kweli hili taifa la wadanganyika
Unauliza makalio ya dog na mkia unaouona na atadai zaid pengine. Viongoz wa chadema wamejaa ahadi zisizotimizika ka CCM, ooh! Tukishinda tutapiga marufuku posho za vikao, mbona hadi leo wanalamba
Aisee kiongoz bora umesema kitu maana ni aibu jamvi la wenye fikra linageuzwa jamvi la mateja. Changia mada kiheshima, pinga hoja kwa hoja au kubali hoja kwa hoja na sio hoja kwa matusi, kejeli na vijembe. Tuwe na utashi katika kujadili mambo na sio kuweka hisia za vyama mbele
Mi mwenyewe kura yangu hapati. Kwa mtu anayetumia akili yake vizur kwa matumiz anayotumia kununua wapiga kura lazima upate shaka. Lkn watz tulivyo wavivu kufikiri hilo hatulioni eti ni mchapakazi, mchapakazi amekuwa sokoine huyu? Mchapakazi au mchapa mabilioni?
Ndugu umesoma hilo gazeti alilotaja mtoa mada? M nimesoma na ndo ukiyatafakari kwa kina kuna kitu ambacho wafuasi wa chadema hawajashtukia. So wakimpa chance kugombea kupitia chadema utafanyaje maana wanachadema wengi ni zidumu fikra za mbowe na slaa. Mnawaamini mpaka hamtaki kufikiria zaidi.
Kweli rushwa kama kula nyama ya mtu. Nakumbuka kauli ya wasira kuwa chadema haitavuka 2015 kweli kwisha habari ya CHADEMA na Lowasa au ndio wanapeana shavu kisa ukanda? Ni mtazamo tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.