Recent content by Jose Marti

  1. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania APPLE vs SAMSUNG wapata MpinzanI

    Kwa pixel density ndogo namna hiyo (<300 ppi)...hazina ishu. Jicho la binadamu linaweza ona/tofautisha mwisho pixel 300 per inch, hizo zna ppi ndogo, which means screen resolution ni ndogo pia kulinganisha na counterparts wake...mfano htc one na Galaxy s4
  2. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania Urais wa Muungano 2015 ni zamu ya Zanzibar - Maalim Seif

    Salim Ahmed Salim...aje anyooshe mambo hata kwa 5 years. Now tunahitaji mtu aliyekuzwa na 'anayefuata' siasa za Mwalimu Nyerere
  3. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

    Conspiracy theories zitaanzia hapo hapo.
  4. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania Rais JK Kumzika Mandela na Ujumbe Mzito Kutoka Tanzania!.

    So ulitaka heshima kwa Madiba itolewe na wasaidizi wa Kiongozi mkuu wa nchi, ama?
  5. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania Rais JK Kumzika Mandela na Ujumbe Mzito Kutoka Tanzania!.

    Halafu pesa tunazoomba wahisani kila siku tutazipataje?
  6. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania Zitto hafai kwa namna zote kuwa kiongozi hana tofauti na Nyerere

    Mwalimu alituachia Dr. Salim Ahmed Salim...ila je, tulimpa nafasi?
  7. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania The Monalisa Smile Painting....!!!

    Hii ni Last supper....depiction ya Jesus' last supper.
  8. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yagoma kupeperusha bendera nusu mlingoti kwa kifo cha Mandela

    Ushaambiwa....bendera ina maneno ya mwenyezi mungu...shahadah. Na haishushwi hata akifa mfalme wao.
  9. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania Siku za Obama zinahesabika... Baada ya Deal la Irani Zionist waja Juu

    Keep on wishing and wait and see what will become of other people when they control the world Those guys are just another version of aryans.
  10. Jose Marti

    JamiiForums Tanzania Siku za Obama zinahesabika... Baada ya Deal la Irani Zionist waja Juu

    Nadhani sote tunasahau kuwa as of the 1940s, lile eneo lioikuwa mali halali ya waarabu wapalestina.
Back
Top Bottom