Siku za Obama zinahesabika... Baada ya Deal la Irani Zionist waja Juu

Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
11,209
2,000
Kiongozi wa Zionist Organization of America Akiongea
Deal hili li Hatari kwa Israel America na Dunia kwa Ujumla...Irani kwa kuwasapoti Magaidi wameweza kuua maelfu ya waamerica nchi mbali mbali je wakiwa na Nuclear si itakuwa Balaa Wanaweza kulipua kwa kupitisha makombora yao kwa meli zao kipitia Matruck barabarani kwenye miji ya America kwa kutumia ballistic misile hii ni hatari kwa America ... Democrat Tutafanya kila liwezekanalo hili Deal lifutwe kwa faida ya Wamarekani na Dunia nzima Tunao watu wa kutosha wa kupiga kura ambao hata Obama na kura yake ya Veto haitafua Dafu...
Iran itakuwa na Uwezo wa Nuclear Bomb mnamo 2015
[h=2]ZOA Head: Iran Deal 'Shameful and Disgraceful'[/h]Morton Klein, ZOA president, speaks to Arutz Sheva and says Iran deal is like Munich deal.

The deal reached between Iran and the West is “shameful and disgraceful,” says Morton Klein, president of the Zionist Organization of America (ZOA).
“I can almost call it a Chamberlain-like Munich deal,” Klein told Arutz Sheva on the sidelines of the ZOA’s 115th Louis B. Brandeis Award National Dinner, which was held this week at the New York City’s elegant Grand Hyatt Hotel.
“The Iranians/Muslims are not being asked to destroy or dismantle any part of the nuclear program,” he added. “All they’re being asked to do is stand still for a few months and then after that they can move forward with their program. In response, we’re giving them major funds which will enable them to become part of the normal, become normalized.”
Over 900 people were at the dinner, which was attended by former Republican presidential candidate and Arkansas Governor, Mike Huckabee, U.S. Representative Michele Bachmann (R–MN), and global philanthropists/humanitarians Sheldon Adelson and Dr. Miriam Adelson. Prime Minister Binyamin Netanyahu also addressed the crowd by video.
In his video address to the guests, Prime Minister Netanyahu lauded the ZOA for being “clear, consistent and courageous” in defending the righteous cause of Israel, fighting for the truth and working to advance the cause of Israel with the government, media and the American public.
The Prime Minister said, “Sheldon and Miriam Adelson are the greatest Zionists in the world. They don’t only talk, they do and if the Adelsons put their names to an award, it really means something ... The ZOA is an indefatigable. Go from strength to strength, you deserve it ... I’d like to thank Mort Klein for his strength of character and striving for truth. Thank you very much.”
 
Last edited by a moderator:
2013

2013

JF-Expert Member
11,120
2,000
obama ni cult leader, ana secret agenda. ndio chanzo cha tatizo.
 
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
8,035
2,000
Hawa jamaa sijui wakoje, yaani masaa yote wanataka Dunia ingie vitani on their behalf! Kwa nini hawataki kuelewana na Waarabu wakaishi nao kwa amani na kuheshimiana.
 
M

Myanguneni

JF-Expert Member
1,192
1,225

Wapo kwenye mkakati maalum wa NEW WORLD ODER
 
B

Balacuda

JF-Expert Member
1,389
1,500
[QUOTE
Deal hili li Hatari kwa Israel America na Dunia kwa Ujumla...Irani kwa kuwasapoti Magaidi wameweza kuua maelfu ya waamerica nchi mbali mbali je wakiwa na Nuclear si itakuwa Balaa Wanaweza kulipua kwa kupitisha makombora yao kwa meli zao kipitia Matruck barabarani kwenye miji ya America kwa kutumia ballistic misile hii ni hatari kwa America ... Democrat Tutafanya kila liwezekanalo hili Deal lifutwe kwa faida ya Wamarekani na Dunia nzima Tunao watu wa kutosha wa kupiga kura ambao hata Obama na kura yake ya Veto haitafua Dafu...

[/QUOTE]

Bomu la nuclear huwezi kurisafirisha popote pale duniani bila kuonekana na ndo maana mpaka sasa ni ngumu sana nchi yoyote kulimiliki kwa kulinunua au kupewa. nasikia yanaonekana popoete yalipo. ukilisafirisha tu wanaliona. na ukili-activate ndo kabisa kabla hata alija-heat linkuwa lime zimwa kivita au kitechnologia sema risk ni kubwa sana ndo maana hawataki kuchukua riski yoyote
 
Madela Wa- Madilu

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
3,070
1,195
Sijui mameno yako yna ukweli kiasi gani.

Bomu la nuclear huwezi kurisafirisha popote pale duniani bila kuonekana na ndo maana mpaka sasa ni ngumu sana nchi yoyote kulimiliki kwa kulinunua au kupewa. nasikia yanaonekana popoete yalipo. ukilisafirisha tu wanaliona. na ukili-activate ndo kabisa kabla hata alija-heat linkuwa lime zimwa kivita au kitechnologia sema risk ni kubwa sana ndo maana hawataki kuchukua riski yoyote

Kuna ndege moja ya kivita hapa USA iliruka kutoka state moja kwenda nyingine ikiwa iko armed na mabomu ya Nuclear.
Muda wote ilipokuwa hewani hakuna aliyejua, wakati inakaguliwa(kitu ambacho ni cha kawaida) baada ya kutua ndipo walipojua kwamba ina mabomu
 
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
2,857
2,000
USA ni mara ya kwanza katika History yao wamepata kidogo Rais ana akili. Hao wameisha zowea kutawaliwa na vichaa kila kitu wao wanadhani vita ndio watatawala dunia nzima, kipigo walicho kipata Iraq na Afghanstan kimeangusha sana uchumi wao, na wakianzisha tena vita na Iran ujuwe ndio mwisho wa USA kuwa mbambe wa dunia.

Huwezi kutawala dunia hii kwa nguvu ya kijeshi kama huna pesa.
 
CHAMVIGA

CHAMVIGA

JF-Expert Member
7,688
1,225
Hao mazionist siku zao zinahesabika kwa mambo wanayowatendea Waparestina waarabu.
 
Kabembe

Kabembe

JF-Expert Member
2,546
2,000
obama ni cult leader, ana secret agenda. ndio chanzo cha tatizo.
My be because of that middle name 'Hussein'! The guy is complex and unpredictable..
 
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
11,209
2,000
Hawa jamaa sijui wakoje, yaani masaa yote wanataka Dunia ingie vitani on their behalf! Kwa nini hawataki kuelewana na Waarabu wakaishi nao kwa amani na kuheshimiana.
Waarabu na Muslm ndio hawataki Amani Wayahudi wapo na Amani Sana Mkuu wao ni eneo lao la kihistoria tu...
 
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
11,209
2,000
USA ni mara ya kwanza katika History yao wamepata kidogo Rais ana akili. Hao wameisha zowea kutawaliwa na vichaa kila kitu wao wanadhani vita ndio watatawala dunia nzima, kipigo walicho kipata Iraq na Afghanstan kimeangusha sana uchumi wao, na wakianzisha tena vita na Iran ujuwe ndio mwisho wa USA kuwa mbambe wa dunia.

Huwezi kutawala dunia hii kwa nguvu ya kijeshi kama huna pesa.
Una mawazo ya Kiislam tupu.... hata Saddam,Gadaffi na Waislam wengi ndio wanavyowaza...Huyo Saddam aliyemshinda Mmarekani yupo wapi? Mullah Omar yupo wapi? Marekani aishiwe pesa? mbona husemi Mafuta yaishe Arabuni...! kwani ni vyanzo pia vya pesa za Marekani.... Ukitizama hapo basi jua Marekani hatoishiwa na Pesa na Vita Atapigana na ni wewe pekee unaesema Marekani amepigwa Muslam ndio madai yao hata kwa Israel wanasema wameshinda ila ukitizama walioumia ni Muslam tena huwa wanaandamana hadi balaa... Mtapigwa hadi mwisho
 
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
11,209
2,000
Bomu la nuclear huwezi kurisafirisha popote pale duniani bila kuonekana na ndo maana mpaka sasa ni ngumu sana nchi yoyote kulimiliki kwa kulinunua au kupewa. nasikia yanaonekana popoete yalipo. ukilisafirisha tu wanaliona. na ukili-activate ndo kabisa kabla hata alija-heat linkuwa lime zimwa kivita au kitechnologia sema risk ni kubwa sana ndo maana hawataki kuchukua riski yoyote
Unaweza aminika au usiaminike.... je mkuu una ushahidi wowote kuwa bomu la nuclear halifichiki na ukiliactive linazimwa kivita? japo hujaeleweka ila naomba ufafanuzi.... ulipotolea hizi data zako
 
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
2,857
2,000
Una mawazo ya Kiislam tupu.... hata Saddam,Gadaffi na Waislam wengi ndio wanavyowaza...Huyo Saddam aliyemshinda Mmarekani yupo wapi? Mullah Omar yupo wapi? Marekani aishiwe pesa? mbona husemi Mafuta yaishe Arabuni...! kwani ni vyanzo pia vya pesa za Marekani.... Ukitizama hapo basi jua Marekani hatoishiwa na Pesa na Vita Atapigana na ni wewe pekee unaesema Marekani amepigwa Muslam ndio madai yao hata kwa Israel wanasema wameshinda ila ukitizama walioumia ni Muslam tena huwa wanaandamana hadi balaa... Mtapigwa hadi mwisho
Nani aliey sema USA kashindwa vita na warabu, hivi wewe umesoma nilicho andika? Nilicho sema ile kuingia vita kule Iraq /Afghanstan dio amesambaratishwa kiuchumi sikusema kashindwa vita, siku za mbele atapigwa tu unachezea warabu wewe.

Kuhusu shangazi zako wa Israel mbona kila siku wanapigwa na kikosi cha Hazbullah, wambie wasogee Lebanon waone moto scudi zilikuwa zikishuka Israel mpaa akakubali hawezi kuwachukua matekwa wale wawili mpaa kwa njia ya peace, chezea Hazbullah wewe.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
34,700
2,000
Kiongozi wa Zionist Organization of America Akiongea
Deal hili li Hatari kwa Israel America na Dunia kwa Ujumla...Irani kwa kuwasapoti Magaidi wameweza kuua maelfu ya waamerica nchi mbali mbali je wakiwa na Nuclear si itakuwa Balaa Wanaweza kulipua kwa kupitisha makombora yao kwa meli zao kipitia Matruck barabarani kwenye miji ya America kwa kutumia ballistic misile hii ni hatari kwa America ... Democrat Tutafanya kila liwezekanalo hili Deal lifutwe kwa faida ya Wamarekani na Dunia nzima Tunao watu wa kutosha wa kupiga kura ambao hata Obama na kura yake ya Veto haitafua Dafu...
Iran itakuwa na Uwezo wa Nuclear Bomb mnamo 2015
[h=2]ZOA Head: Iran Deal 'Shameful and Disgraceful'[/h]Morton Klein, ZOA president, speaks to Arutz Sheva and says Iran deal is like Munich deal.

The deal reached between Iran and the West is “shameful and disgraceful,” says Morton Klein, president of the Zionist Organization of America (ZOA).
“I can almost call it a Chamberlain-like Munich deal,” Klein told Arutz Sheva on the sidelines of the ZOA’s 115th Louis B. Brandeis Award National Dinner, which was held this week at the New York City’s elegant Grand Hyatt Hotel.
“The Iranians/Muslims are not being asked to destroy or dismantle any part of the nuclear program,” he added. “All they’re being asked to do is stand still for a few months and then after that they can move forward with their program. In response, we’re giving them major funds which will enable them to become part of the normal, become normalized.”
Over 900 people were at the dinner, which was attended by former Republican presidential candidate and Arkansas Governor, Mike Huckabee, U.S. Representative Michele Bachmann (R–MN), and global philanthropists/humanitarians Sheldon Adelson and Dr. Miriam Adelson. Prime Minister Binyamin Netanyahu also addressed the crowd by video.
In his video address to the guests, Prime Minister Netanyahu lauded the ZOA for being “clear, consistent and courageous” in defending the righteous cause of Israel, fighting for the truth and working to advance the cause of Israel with the government, media and the American public.
The Prime Minister said, “Sheldon and Miriam Adelson are the greatest Zionists in the world. They don’t only talk, they do and if the Adelsons put their names to an award, it really means something ... The ZOA is an indefatigable. Go from strength to strength, you deserve it ... I’d like to thank Mort Klein for his strength of character and striving for truth. Thank you very much.”
ballistic missile za iran barabarani marekani?...mbona kama haiji.
 
Last edited by a moderator:
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
34,700
2,000
Una mawazo ya Kiislam tupu.... hata Saddam,Gadaffi na Waislam wengi ndio wanavyowaza...Huyo Saddam aliyemshinda Mmarekani yupo wapi? Mullah Omar yupo wapi? Marekani aishiwe pesa? mbona husemi Mafuta yaishe Arabuni...! kwani ni vyanzo pia vya pesa za Marekani.... Ukitizama hapo basi jua Marekani hatoishiwa na Pesa na Vita Atapigana na ni wewe pekee unaesema Marekani amepigwa Muslam ndio madai yao hata kwa Israel wanasema wameshinda ila ukitizama walioumia ni Muslam tena huwa wanaandamana hadi balaa... Mtapigwa hadi mwisho
wamarekani mbona pesa huisha,juzi hapa si walifunga ofisi zote,ulikua wapi?
 
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
8,035
2,000
Unaweza aminika au usiaminike.... je mkuu una ushahidi wowote kuwa bomu la nuclear halifichiki na ukiliactive linazimwa kivita? japo hujaeleweka ila naomba ufafanuzi.... ulipotolea hizi data zako
Mkuu siku hizi kuna nuclear shells ambazo zina payload ya a few Kiloton (ya mlipuko) unaweza kutembea nazo kwenye briefcase, kama una utaalamu wa kutosha unaweza kuzi-detonate remotely kwa kutumia simu za kiganjani/wireless link. 4 maximun destruction/damage ni vizuri likilipuliwa above ground say 500meters or so - the bad news ni kwamba si rahisi kupata access/kununua mabom kama hayo barabarani yanafungiwa kwenye armoury za kijeshi kwa ulinzi mkali! Jamaa wa Al-Qaida wanafanya tafiti za kutengezeza a dirty bomb i.e a watered down nuclear bomb/poorman's nuclear bomb, haijulikani kama wanaendelea na tafiti hizo au walisha kata tamaa. Mwisho ni kwamba bomb la nuclear likisha kuwa activated hakuna ufundi/ujanja wowote unaweza kulizima - litariupuka tu, unless detonators zake ziki-malfunction. Sehemu ambazo nishati za nuclear zinaweza kutumika kwa manufaa ya binadamu ni kwenye nuclear power reactors zinazo toa joto la kuchemshia maji na kutoa mvuke wa kusukuma primemovers za kuzungusha jenereita za kuzalisha UMEME, tekinolojia hiyo inatumika vile vile kwenye nyambizi za kijeshi vile vile na meli za kuvunja barafu kwenye polar regions i.e Antarctica and Arctic kwa ajili ya kuweka njia za meli za kawaida ziweze kupita. Swali ni: Inakuwaje mitambo hiyo hailipuki kama bom wakati zinatumia mbinu hizo hizo za nuclear chain reaction/fission - jibu ni: Kwanza -Malighafi inayo tumika humo hajarutubishwa kufikia kiwango cha kutengeneza/gehuka bom. Pili - Wanatumia modulators mfano: Graphite, Lightwater au Heavy Water na mbinu nyingine kutegemea pendekezo la mbunifu/designer wa mitambo yenyewe; kazi za mudulators ni kupunguza/regulate kasi ya uzalishaji wa Neutrons kwenye mitambo hiyo, modulators zikishindwa kufanya kazi vizuri au kama system ya ku-cools core inakuwa na hitilafu basi mtambo unaweza kupata tatizo linalo julikana kama MELTDOWN lakini sio kulipuka kama bom - tatizo Meltdown liliwahi kutokea huko Chernobyl Ukraine, Japan, Threemile Island nk.
 
M

mzee fred

Member
9
0
i wish israel to take the position ou us. these guys could control well the world
 
2013

2013

JF-Expert Member
11,120
2,000
My be because of that middle name 'Hussein'! The guy is complex and unpredictable..
wazungu kipindi anagombea mara ya kwanza obama is an american with a strange name. ha ha ha ha
 
amrikyaruzi

amrikyaruzi

Member
10
20
Nadhani sote tunasahau kuwa as of the 1940s, lile eneo lioikuwa mali halali ya waarabu wapalestina.
 
Forum statistics

Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom