East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,205
Makaburu ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania unasemaje kwa hilo.
Wamekuwa hivyo baada ya kuacha ubaguzi wa rangi afrika kusini.Sioni tatizo.
Makaburu ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania unasemaje kwa hilo.
Ungejua msada warabu wanao toa kwa nchi za kiafrika usinge ongea wewe. Kwani walio shusha bendera ndio hawana chuki na wafrika.Chuki za waarabu,dhidi ya black skin
wkt sisi,tumewakarbisha na wamejenga
wababaishaji tu hawa
Baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini na mwanaharakati maarufu Nelson Mandela nchi nyingi duniani zimeamua kupeperusha bendera zao nusu mlingoti ishara ya kuguswa na kifo cha mwanaharakati huyu mandela katika kuwakomboa watu weusi kutoka minyororo ya ubaguzi na unyanyasaji. Hata hivyo pamoja na Saudia Arabia kuutambua mchango wa Nelson Mandela katika harakati za ukombozi lakini imekataa kushusha bendera yake na kupepea nusu mlingoti kwasababu bendera hiyo imeandikwa maneno ya Mwenyezi Mungu(LAAILAHAILLAH MUHAMMAD RASULULLAH) na kamwe haiwezi kushushwa hata akifa mfalme wao.
Binafsi naupongeza msimamo huu with due respect kwa mwaharakati huyu lakini si haki kushusha bendera yenye maneno ya Mungu kwa kifo cha binadamu.
Bendera ya mtume Muhammad, haita shuka chini hata siku moja.
Hayo maneno ya nasema Hakuna Mungu zaidi ya mmoja tu, na Mtume Muhamamd ni The Messenger of God.
Swali lako la pili, kwani Bibilia zenu zilichapishwa mbinguni?
Swali lako la tatu bendera kama hio haita weza kupepea nusu sababu ina maneno ya Mungu na mtume Muhammad.
Swali lako la nne ambalo we umeliweka la tano, Saud arabia hata mfalme wao akifa bendera yao haishushwi, sababu hao viongozi wao, hawana kitu mbele ya Mungu na mtume Muhammad.
Nadhani nimekujibu yote maswali yangu.
Sasa mimi nakuliza wewe swali hizo bendera zinazo shushwa kuwa nusu zina faida gani, je zimemsaidia Mandela kwenda peponi au kama alikuwa ana dhambi kafutiwa dhambi zake na kwenda peponi.
Kwa ujumla mimi namheshimu sana Mandela, lakini Mungu anasema mtu yoyote duniani akiwa na mazuri atalipiwa hapa hapa duniani hata kama ni mkristo, lakini kwa Mungu kama si Muislam asahau kwenda peponi.
Naomba Mungu amjalia Mandela awe kasema neno lake la mwisho Lailah Hailah Lah Muhamamdan Rasul Lah, kama hajasema hivyo na uhakika kabisa mnao enda motoni mtakuna naye Mandela, hata na mimi kama sikubahatika kwenda peponi takuna naye, waislam wasidhani ni wote wataenda peponi. Kama hamjafanya aliyo yafanya Prophet Ibrahim an Prophet Muhammad, SALAA, kama hamsali na kufanya mazuri msahau kuona pepo ya Mungu.
Kwa hio Tanzania iwache kurusha bendera yake pia sababu aliye ileta bendera hio alisha kufa, au wewe unataka kusema hizo bendera za nchi zote walio ziletea wako hai pia hahaha.Yeye mwenye bendera si ni marehemu?
Sawa, tunakubali kila nchi na utaratibu wake. Lakini mimi naamini bendera inatakiwa ipepee nusu mlingoti hata huko kwao(Saudia), kwasababu Nelson Mandela ni mja wa mwenyezi Mungu na Mungu pia ndio alimtuma na akambariki aweze kufanikiwa kwenye harakati zake za kumkomboa mtu mweusi kwenye kwenye mateso ya ubaguzi kwenye kipindi hicho. Hayo maswala ya kufa mfalme wao anayejilimbikizia mali sisi yanaweza yasituhusu.
Wakristo msahau kwenda peponi, labda mbahatike kuwa waislam, kabla hamjafa. Ingekuwa kila anaye fanya mazuri anaenda peponi ingekuwa hakuna haja ya kufata mafunzo ya Prophet Ibrahim na Prophet Muhammad.Daah! bakhti mbaya hujanijibu swali langu la pili ila badala ya kujibu umeuliza, sikuona haja ya wewe kuleta suala la biblia ilipochapishwa as if mimi niliuliza qur'an ilichapishwa wapi! Niliuliza suala la aya ya kwenye bendera nikidhani labda imetokea hivyo kama ambavyo inasemekana kutokea kwenye baadhi ya mbuzi au kondoo wanaozaliwa!
Hayo masuala ya nani mwenye sifa ya kwenda peponi inategemea na imani au dhana, kwa upande wangu mimi kila mtenda mema ataingia peponi regardless dini anayoamini.
Wengine hapa hata uwafahamishe vipi hawasikii sababu wana magonjwa yale ya chuki ya kuwachukia waislam, sababu wanajuwa wazi waislam ndio wanao enda peponi.Ushaambiwa....bendera ina maneno ya mwenyezi mungu...shahadah. Na haishushwi hata akifa mfalme wao.
We hujui kila nchi ina ramani yake, hivi we unaweza kumruhusu bint yako akaendesha gari kwenye desert ya Saud Arabia? Unless uwe kichaa ndio utasema aendeshe gari.Kuchanganya siasa na Dini,tusishangee ya bendera hawa watu hawataki hata wanawake wao waendeshe gari,kwa jina la uislam,sasa sijui na hii ya wanawake kuendesha gari imetoka kwa mtume vilevile?
Wamesahau mke wa mwanzo wa mtume Mohammad alikuwa mfanya biashara na kabla mtume ajapewa utume alikuwa akifanya kazi kwa huyu bibi Khadija,Je mtume alimkataza Khadija asifanye biashara
Hawa wasaudia Wanafik tu kila kitu wanasingizia uislam
Hayo maneno ya nasema Hakuna Mungu zaidi ya mmoja tu, na Mtume Muhamamd ni The Messenger of God.
Swali lako la pili, kwani Bibilia zenu zilichapishwa mbinguni?
Swali lako la tatu bendera kama hio haita weza kupepea nusu sababu ina maneno ya Mungu na mtume Muhammad.
Swali lako la nne ambalo we umeliweka la tano, Saud arabia hata mfalme wao akifa bendera yao haishushwi, sababu hao viongozi wao, hawana kitu mbele ya Mungu na mtume Muhammad.
Nadhani nimekujibu yote maswali yangu.
Sasa mimi nakuliza wewe swali hizo bendera zinazo shushwa kuwa nusu zina faida gani, je zimemsaidia Mandela kwenda peponi au kama alikuwa ana dhambi kafutiwa dhambi zake na kwenda peponi.
Kwa ujumla mimi namheshimu sana Mandela, lakini Mungu anasema mtu yoyote duniani akiwa na mazuri atalipiwa hapa hapa duniani hata kama ni mkristo, lakini kwa Mungu kama si Muislam asahau kwenda peponi.
Naomba Mungu amjalia Mandela awe kasema neno lake la mwisho Lailah Hailah Lah Muhamamdan Rasul Lah, kama hajasema hivyo na uhakika kabisa mnao enda motoni mtakuna naye Mandela, hata na mimi kama sikubahatika kwenda peponi takuna naye, waislam wasidhani ni wote wataenda peponi. Kama hamjafanya aliyo yafanya Prophet Ibrahim an Prophet Muhammad, SALAA, kama hamsali na kufanya mazuri msahau kuona pepo ya Mungu.
Who cares what Saudis do? Washushe wasishushe sawa tu.
Sawa, tunakubali kila nchi na utaratibu wake. Lakini mimi naamini bendera inatakiwa ipepee nusu mlingoti hata huko kwao(Saudia), kwasababu Nelson Mandela ni mja wa mwenyezi Mungu na Mungu pia ndio alimtuma na akambariki aweze kufanikiwa kwenye harakati zake za kumkomboa mtu mweusi kwenye kwenye mateso ya ubaguzi kwenye kipindi hicho. Hayo maswala ya kufa mfalme wao anayejilimbikizia mali sisi yanaweza yasituhusu.
kwanza hakuna mtu mbaya kama mwarabu kila alipo tia maguu kaacha laana,kwanza jamii nzima ya wavivu na ombaomba,watu wa chuki na majungu..jaribu kutazama mijii alio kaa mwarabu utagundua