Recent content by jose law

  1. jose law

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya SAKATEL vs TTCL

    Kwa mamlaka niliyopewa nawatunukia tuzo ya heshima na kuwainulia JamiiForum mikono. Kama mkuu ana nia kweli basi achukue hansad hizo aanze nazo kazi. Yani nyeupeeee
  2. jose law

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Viongozi wa Upinzani baada ya TAKUKURU kutupilia mbali tuhuma za rushwa za RC Mnyeti! Yapo ya Lema na Nassari

    The bad image of TAKUKURU. Kwa hili naomba niseme takukuru mmejuchafua sana na hili doa limewafanya mdharaulike kwa kiasi kikubwa. How can you do that? Uko wapi weledi wenu unawaheshimisha?? Hili doa nani atalifuta?? Mmeamua kutoa uaminifu wenu kabisa kwa wananchi?
  3. jose law

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasikia kama kichomi fulani katika ya mapafu yaani kifuani

    Nimeongelea experience mkuu. Watu wengi ambao wana matatizo hayo chanzo kikubwa huwa ni matumizi ya feni
  4. jose law

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasikia kama kichomi fulani katika ya mapafu yaani kifuani

    Acha kutumia feni au punguza matumizi ya feni kwa muda hali itarejea kama kawaida
  5. jose law

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeingia kwenye bifu zito na mgoni wangu Boloyank, amekodi watu "wanipige mashine"

    Daaa bro. Chukua hatua asee. Mke uchapiwe na pia utishiwe kuwa mke wa watu..
  6. jose law

    JamiiForums Tanzania Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

    Kala bange huyu
  7. jose law

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hali si shwari

    Kwani hii series ipo episode ya ngapi?
  8. jose law

    JamiiForums Tanzania CAG KUMBUKA JIPU HILI

    Tupe taarifa ya mapato na matumizi ya nyumbani kwako ili tupate uwazi na wewe pia
  9. jose law

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Si kama lile lingine lile la kusema makosa ya mkandarasi hadharani
  10. jose law

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa sheria,naweza kuishitaki bodi ya mikopo?

    May God give you according to your wish.just receive what you desire in Jesus name
  11. jose law

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania waambie dada zenu...

    Siku hizi wanafanya makanisa fashion show bana.. Via jamiiforum for berries
Back
Top Bottom