Recent content by jormo

  1. J

    Uchaguzi mkuu

    Maoni yangu,tumchague mtu mwadilifu,mtu yule ambaye eao wenyewe walimtangaza kuwa ni mwizi,hazards za bunge zinawaonyesha wakikandia kuwa lws ni mwizi,fisadi,leo uadilifu wake unapimwa kwa mizani gani! Tangu ujana wake enzi za Sokoine,mtu huyo hana uadilifu,wanaopisha wajaribu...
  2. J

    Uchaguzi mkuu

    Ni vema kujua sura na ukurasa mwingine ya hao waombao urais,nasikia huyu mwingine alichaguliwa kuwa waziri mkuu nakafanya miaka miwili tu,akadakwa kwa wizi.akatemwa,je tukimpa miaka mitano kama rais nchi itapona?Acha ushabiki jibu swali hili kwa kuzingatia uchaguzi tunaotaka kuufanya unahusu...
  3. J

    Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Huo ndio mfumo wa lowasa,hawezi kujitetea.pesa zake kupitia wapambe ndio wanao mtetea.hamjui hilo?Hoja hapa ni moja tu Nchi anapewa mwizi,fisadi! Tunaenda wapi? Wanazuoni kimyaaaa,maaskofu nao ndo wameingia majukwaani tumewaona ktk mkutano wa El kule arusha,dar na wapo begakwa bega.kwa mtu wa...
  4. J

    Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Jibu hoja,dr halilii hilo la uraisi.dr anatoa machozi anapo ona nchi yake yanakabiziwa majizi,mafisadi.na wewe mbatia tunazo hotubba zako ulizikuwa ukikandia ufisadi wa lowasa.acheni kuchezea akili za watanzani,mumepoteza dira,Je ni sahihi nchi isimamiwe na jitu jizi na genge lake? Duuu hi ni...
  5. J

    CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    Alicho sema dr Slaa ni wazi,na anayeona azuriwa maneno aende mahakamani.majizi hayakosi lugha ya kujitetea.namfahamu dr.huwa hwakurupuki,ivi anazo documenti zenu ninyi washenga wa El.msije mkajuta kesho.mumekula mlungula,na ni wazi El anatumia pesa.hiyo hatuhitaji mwanazuoni aje kuthibitisha.
  6. J

    Mwanza wamuomba Slaa kufanya kongamano ''okoa nchi kataa ufisadi'' Nyerere mpya azaliwa

    Ni aibu,aibu kubwa.wamelishwa libwata,wanaenda kama vipofu,inchi inatobolewa na genge la mafia! Lakini mumeng"angana na El.nadhani ni sahihi dr S apewe muda watengeneze uelewa.tabu ya watz ni watu wa aina ya bendera fuata upepo,wanasombwa tuuu,jamani hoja kali alizotoa dr bado iko haja ya...
  7. J

    Katika kutawala jukwaa, Magufuli anaongoza dhidi ya Lowassa

    Wewe,jabulani,unaujua wimbo unaoimba!unayajua mabadiliko? Wenzako huko ccm wamesha yaanza hayo mabadiliko,wamesha yasafisha mapanya buku yaliyokuwa yanaharibu shamba,sasa kweupeee,Umemwona mtu wenu jana,hana lolote alilolisema kwa uma.na wapambe wake ni sera za mipasho tu,hatujaona wala kusikia...
  8. J

    Hoteli ya Nashera Mjini Morogoro imefungwa?

    Ikiwa nashria ni ya lowasa,dhambi ni kule kujificha kwake katika kutangaza mali zake
  9. J

    GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Hamkosi maneno,magufuli jana kaumaliza upinzani na sera zake tumezikubali,ni za kitaifa.mangula mbena,kikwete bagamoyo,nape lindi,mzee wasira musoma,kinana arusha.magufuli geita,amina sulum znbar.hii imekaa kitaifa.sasa tazama hii,lowasa arusha,mbowe moshi,sumaye arusha,mbatia moshi,mzee mtei...
  10. J

    GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Mtu anagharimia tu mkutano na waandishi wa habari basi toka hapo ni mtu wa ngazi ya kuu,bila kutuma maombi wala kujadiliwa na vikao husika.loo leo hivyo je mkishika huo urais,si mtakuwa madictata ninyi?
  11. J

    GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Hatuwezi.niliwaona tena ukawa haina demokrasia,ni ubabe tu.mwenyepesa wakati wowote huingia na kuchukua cheo akitakacho bila kupitia vikao husika.mbowe ametuulia demokrasia yetu
  12. J

    GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Ccm imezaliwa upya.magufuli ni wetu rais wa kitaifa.take care na list hii,sumaye,mbatia,mbowe,lowasa.je unaona nini hapo?mi naona ni mtandao wa ukikanda.iweje safu yote ni kutoka arusha...kaskazini? Ukawa imejichinja yenyewe
  13. J

    WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Tutarajie maumivu machungu kwa serikali ijayo iwapo itakuwa chini ya El.fikirini watz wenzangu.biashara za el zote leo zipo vifichoni hazijulikani.pesa hizo zote kwa ipi atuambie.maragiki hao wanaomchangia aliosema wanatarajia nini in return?
  14. J

    WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Wanacha na maisha ya mtz.wenzetu huko majuu mama mmoja anagombea urai,lakini anapata taabu sana kwa vile tu mume wake aliwahi kushikwa ugoni.Clinton.leo jitu jizi linapewa ikulu,ni vioja vya watz.budget ya serikali kwa mwaka asilimia kubwa inalipwa na wazungu,leo jizi liko ikulu,hawawezi kutuelewa
  15. J

    Kingunge Ngombale Mwiru avuliwa ukamanda UV-CCM Taifa

    Kngng ni injini ya train iliyochoka.hana jipya.heko vijana wa ccm.amfuate el alikokwenda akampigie debe na huko nako ili ukawa iparaganyike zaidi.hivi ni nani jamani asiye wajua wazee mslahi kama akina kingng? Hao ni wazee wa biashara zao.wanakanyagia vijana wa ccm ili wafike waendako.alitukana...
Back
Top Bottom