MFUKUZI
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 933
- 700
Aisee kwa mara ya kwanza naanza kumkubali Magufuli jembe, ni kazi kwenda mbele. nchi yetu ilipofika kwa sasa tunahitaji Dikiteta mzalendo ndo nchi itakaa sawa
Kumbe kwa miaka 54 nchi ilikuwa haijakaa sawa... Watanzania kama wewe ndiyo janga la taifa... Yaan unategemea Magufuli akuletee mabadiliko???