WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

Kwa uzi huu,Lowasa anatakiwa kujitoa mara moja.Japo mimi nipo na Dr.Slaa mwanzo mwisho,ila sitaki kuona fisadi ikitamba kwa mihela yake.
Lowassa anapaswa kuwa jela.Hata Nyerere alizembea kumtia adabu ya vile viboko 12.

Mkuu bado upo kwa Dr slaa. Hahahahahahahahaaaa

##TwendeNaMagufuli
 
It's amazing... Wakati huu uzi unaanza.. Lowassa alikuwa CCM. Post zote za juu ni za kumponda... Toka ahamia Chadema, post zote ni za kumsafisha... Hahahahahahahahaaaa

HATUDANGANYIKI!!! Mwizi ni Mwizi!!

#TwendeNaMagufuli
 
Wanacha na maisha ya mtz.wenzetu huko majuu mama mmoja anagombea urai,lakini anapata taabu sana kwa vile tu mume wake aliwahi kushikwa ugoni.Clinton.leo jitu jizi linapewa ikulu,ni vioja vya watz.budget ya serikali kwa mwaka asilimia kubwa inalipwa na wazungu,leo jizi liko ikulu,hawawezi kutuelewa
 
Tutarajie maumivu machungu kwa serikali ijayo iwapo itakuwa chini ya El.fikirini watz wenzangu.biashara za el zote leo zipo vifichoni hazijulikani.pesa hizo zote kwa ipi atuambie.maragiki hao wanaomchangia aliosema wanatarajia nini in return?
 
It's amazing... Wakati huu uzi unaanza.. Lowassa alikuwa CCM. Post zote za juu ni za kumponda... Toka ahamia Chadema, post zote ni za kumsafisha... Hahahahahahahahaaaa

HATUDANGANYIKI!!! Mwizi ni Mwizi!!

#TwendeNaMagufuli

Hivi serekali ya ccm inashindwaje kumkata mtu mwizi wa mamilioni?au ndio unataka kuniaminisha kuwa pale lumumba ni dhaifu?
 
Watamkata yupi na kumwacha yupi? Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba. Wasiwasi wao sasa ni kwamba anaweza kutoboa siri zao.
 
Huwezi kusafisha kanika kuwa nyeupe, wenzetu waliolishwa peremende wanaweweseka khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wtu walikuwa wanawaponda mababu zetu waliochukuliwa utumwa na kamtu kamoja na kabunduki kake na kubebeshwa mizogo na kufungwa minyororo. sasa leo hii nani amefungwa hiyo minyororo? Nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, na hawa wanaoandika hapa ati wanajiita wasomi kumshabikia mwizi papa, aibu!
 
leta na za
epa
escrow
deep green
kagoda
meremeta
rada
etc
ufisadi ni richmond pekee??
 
CCM inakumbatia mafisadi kama kauli yako ni sahihi. Leo nimehakikisha kupitia statement hiyo. Yaani inajulikana kitakwimu ( miaka 7!). Hata haikuwa shida muda wote huo
 
Ambassador Mark Green- “Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years.”

Katika Mpango Mahususi wa Gazeti la Kimombo la “Thecitizen” Tanzania kumsafisha Waziri Mkuu aliyeachia ngazi kwa tuhuma za Rushwa kumekuwa na Upotoshaji Mkubwa sana katika gazeti hilo wa kuwahaadaa watanzania kuhusu usafi wa “Mtia nia huyu”.
Gazeti hilo limekuwa “dodoki kuu” kuhakikisha Lowassa anasaifshika kwenye jumuia za Kimataifa- na
Moja ya (Mwenendo/trends) – inayoshika kasi katika zoezi hilo ni kuandika makala ambazo zinapunguza makali ya makosa ya Lowassa na kujikita kwenye tungo ndefu za “ Reputation Cleaning”.

Mwendo huo pia umeendelea kushamiri kwa kasi kwa kutumia vyombo vya habari vingine vya nje kama VOA na kampuni ya Teneo Intelligence ambapo bwana Ahmed Salim amekuwa akituma briefings kwa wawekezaji na wateja wengine kuwaaminisha kuwa Lowassa ndio Chaguo la CCM na watanzania.
Moja ya wimbo unaoimbwa na Lowassa na Vyombo vinanvyomtakatisha ni ule wimbo wakusema kwamba Obama na Hiliraly Clinton kwenda kwenye Mitambo ya ufuaji umeme ya Symbion ni Uhalalishaji wa mchakato haramu wa Richmond, kitu amabacho hakina Mashiko.

Sababu kubwa ni hizi zifuatazo:
Katika Wikealeaks cables;kuna ushahidi usio na chembe wa nini ulikuwa msimamo wa marekani kwenye hili sakata.

1) Wamarekani waliamini ule mchakato ulikuwa ni haramu na Lowassa ni mla Rushwa- ndio maana Balozi wa Marekani nchini Tanzania wa wakati huo Ambassador Mark Green Mnamo tarehe 9 February 2008, aliandika waraka wa kijasusi Kuelekea Washington, akituma nakala kwa waziri wa Mambo ya Nje,National Security Council- Baraza la Usala wa Taifa, nasehemu zingine mhimu.Katika waraka huo ali summarize waraka wake kwa Msimamo wa maneno yafuatayo hapa chini;

“11. (C) While the immediate reason for PM Lowassa tendering his resignation was his implication in the illegal procurement of the energy contract with Richmond, Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years. In addition, rumors of a cabinet shake-up had been rampant since the conclusion of the CCM's Party Congress on November 5, 2007. As a result of CCM elections for the party's National Executive Committee, several of President Kikwete's close circle took on new roles in the party. Other CCM stalwarts were moved to "lower" positions, indicating that Kikwete was maneuvering to distance himself from ministers and others with reputations for lining their pockets.”
Maneno mekundu hapo ni mazito sana “Vitendo vya Rushwa vya Lowassa sio siri tena” miaka saba Tangia waraka huu uandikwe hakijabadilika kitu.

2) Pili Wamarekani, walitambua ile kampuni ya Richmond ilikuwa ni Printing shop tu na hawakusita kuwaambia watanzania. Kama inavyooneka hapo chini.
(U) Throughout the Richmond ordeal from June to November 2006, the public was outraged because severe power shortages continued unabated in Dar es Salaam while Richmond fumbled all attempts to put its diesel-run generator system on line. Rumors swirled that Lowassa's son, Frederick, was a co-owner of Richmond Company. Investigative reporters latched onto the "Richmond story" and did not want to let go. Since Richmond is a U.S.-based company, the Embassy received many inquiries, but could only say that Richmond was registered in Houston Texas as a "printing shop and business services center."

3) Hapa chini inaonesha mshangao wa Balozi kuhusu mazingira ya Ufungaji wa Kesi ya Richmond. Na anaenda mbali zaidi kuonesha kwamba Baaba ya sheria mpya ya Rushwa ya July 2007 ,tulikuwa na nafasi ya kumtia Jela Lowassa lakini kesi haikufunguliwa tena.

5. (C) In January 2007, Edward Hosea, head of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), told the DCM that the Richmond Company procurement process was under PCCB investigation. However, in May 2007 the PCCB abruptly closed the case stating the "no wrong-doing had been found." Hosea told the Mission's program coordinator of the Millennium Challenge Account (MCA) Threshold program that since PCCB had been unable to prove any money had changed hands in the Richmond deal, the Bureau decided to drop the investigation. Tanzania's new and tougher Anti-Corruption Act 2007 went into effect on July 1, 2007, which allowed for investigations into public procurement irregularities, but the case was not reopened.

4) Symbion ilipoinunua Dowans ilikuwa ni kampuni Tayari yenye mitambo, Ilikuwa pia ina Financial Records ambayo imeshajitengenezea kwa kufanya Biashara na Tanesco. Hivyo, huwezi kulinganisha Richmond aliyoingia nayo mkataba Lowassa na Dowans iliyokuwa imeshanufaika na kufanya Biashara na Tanesco. Kwa Lugha nyingine Kipindi Dowans inanuliwa na Symbion ilikuwa ni “Bankable Project”. Hivyo Kwenda Kwa Obama kwenye mitambo ya Symbion hakuna uhusiano na makosa ya kimchakato na harufu ya Rushwa ambayo wamerakini waliyaona kwenye mchakato wa Richmond kama alivyosema balozi wao.

Namalizia kwa maneno ya Ambassador Mark Green- “Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years.

Tusiweke rehani nchi yetu,kwa kumpa ridhaa FISADI. Kama ulimsikiliza Lowassa vizuri kwenye hotuba yake- Neno Gesi lilitokea mara nyingi sana kuliko Rushwa na Ufisadi- Maana yeye na Genge lake, Lengo lao kubwa ni Gesi...

Tusisahaulishwe

Unaweza kusoma Waraka wote wa Balozi Green Kwa kufuata Link hiyo hapo chini.

===============
kura yangu awez ipat ahata kwa dawa
 
Wewe umeonyesha ni jinsi gani unatumika na kibaraka wa CCM.
Maana kauli ya Hosea kwamba hakuna kesi yoyote ya ku-institute inthe court, tayari hapo unaonyesha Bias wazi kabisa.
Ungekuwa mkweli ungepigia mstari mwekundu kwenye maneno ya Dr. Hosea ambaye alichunguza na kuona hakuna kesi, kuliko kukalia majungu ya balozi.
 
Back
Top Bottom