Recent content by Jordin abdallah

  1. Jordin abdallah

    Ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mtu anayekufanya ujihisi uko peka yako

    Ni bora kuwa pekeako kuliko kuwa na mtu anayekufanya ujihisi uko pekaako, msemo huu una maana gani? Iko hivi, kwa mfano uko katika mahusiano ya kimapenzi na mtu lakini mtu huyo muda mwingi anautumia kwa mambo yake na hajali hisia zako.
  2. Jordin abdallah

    Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Rais wa Tanzania John Magufuli amewaasa viongozi anaowateua kuridhika na nafasi wanazopatiwa akisema kuwa haiwezekani ukapata kila kitu. Magufuli ameyasema hayo alipokuwa akiwaapisha Bw. Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na...
  3. Jordin abdallah

    Zingatia hili neno ''Nakupenda sana mpenzi wangu''

    You must thymolize a lessn time to thinkn about...
  4. Jordin abdallah

    Ukimwaga chozi kwa ugumu wa maisha inadhihirisha umekata tamaa

    Wengi tunajua kwamba ukitoa chozi au kulia itakusaidia kupunguza machungu yaliyomo ndani ya moyo wako sindioo? Ni kweli lakini ukilia kwa kutoa machozi hali hii hudhihirisha kwamba umejikatia tamaa kabisa na hauna namna nyingine ya mufanya. Leo najua kuna watu wanamatatizo mengi sana mpaka...
  5. Jordin abdallah

    Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti

    Hahaha picha hiyo picha imepigwa mara mbili nikimaanisha kutoka kwenye dgtal hd mpk kenye flex phone camera sawa?
  6. Jordin abdallah

    Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti

    Sawasawa umeeleweka safi sana kaka ndio maana ukawepo
  7. Jordin abdallah

    Zingatia hili neno ''Nakupenda sana mpenzi wangu''

    "Nakupenda sana mpenzi wangu" Kauli hii unaichukuliaje? Acha leo nikuibie siri wakati unapomwambia mpenzi wako kuwa unampenda sana mpenzi wako huwa anafarijika sana hata kama anamaumivu moyoni basi maumivu yale yanayeyushwa na kauli hii. Kwanza kabisa kauli hii mara anapoisikia ikitoka...
  8. Jordin abdallah

    Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti

    Hahaha kwakweli ni fundi haswaaaa.
  9. Jordin abdallah

    Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti

    KUHUSU MOYO WAKO BY: Mfalme Moyo huwa unadunda kwa nyendo tofauti kwa hali tofauti tofauti (different Apparitional) Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti. (1) UKIWA NA HASIRA ukiwa na hasira mapigo ya moyo hupiga taratibu sana kutokana na ghadhabu ulionayo na hasira...
  10. Jordin abdallah

    Huyu hapa mbaya wako

    Kaka hauwezi kuishi kwakujishuku au kujihofia kuwa wewe ni mbaya wa maisha yako na badala yake maisha yako hayatokwenda vilivyo.
  11. Jordin abdallah

    Huyu hapa mbaya wako

    Oooh kunamtu anaweza kupenda mwanamke ikiwa mwanamke anakalio kubwa kwa sasa wanaita wowowo na kuna mwingine anampenda mwananke kwa kila kitubalichonacho so hebu niambie kaka kati ya hao wawili ni nani atachokwa mapema?
Back
Top Bottom