Ukimwaga chozi kwa ugumu wa maisha inadhihirisha umekata tamaa

May 29, 2020
30
95
Wengi tunajua kwamba ukitoa chozi au kulia itakusaidia kupunguza machungu yaliyomo ndani ya moyo wako sindioo? Ni kweli lakini ukilia kwa kutoa machozi hali hii hudhihirisha kwamba umejikatia tamaa kabisa na hauna namna nyingine ya mufanya. Leo najua kuna watu wanamatatizo mengi sana mpaka wanahitaji kujiua lakini kuna wengine wamekabiliwa na matatizo mpaka wanatamani kukimbia familia zao.

Sasa nakutia moyo mpendwa hebu usikate tamaa cha msingi maisha yakiwa mazuri sherehekea cheza kula kunywa kisha sema ahsante Mungu na endapo maisha ni mabaya piga goti kisha sema ahsante mungu kwa kunipatia pumzi naomba unipatie muangaza kwa siku hii ya leo kisha simama na uendelee kupambana.

Tambua Kulia sio kinga endapo utamwaga chozi kwa ugumu wa maisha inadhihirisha umekata tamaa tafadhali futa machozi kisha simama juu na uendelee kupambana.

FB_IMG_1594198775102.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom