Sijui kwa nini watu wako so shallow kwenye argument
Yanga kwa sasa inafadhiliwa na GSM, na ina mkataba wa udhamini wa AZAM and Sport pesa.
Kama club haijaweza kuwa na vyanzo reliable vya mapato. Hatujui Sport pesa na Azam watakaa kwa muda gani lakini definitely hawatakaa milele.
Unaweza ku-urge...
Ni uchungu sana kupoteza idadi kubwa hiyo ya watu.
Palifanyika ukaguzi wa magari ya shule ilipotokea ile ajali Arusha, na kama kawaida hali ikapoa na wenye magari hayo ni wazi wamejisahau tena. Kwa picha tu hii gari iliyopata ajali leo na kusababisha vifo hivyo inaonekana ni chakavu
Unilateral judgment siyo uonevu
Kulingana na mazingira yatakayokuwepo- kama upande mmoja haukutoa ushirikiano maamuzi yanaweza kutolewa kwa kusikiliza upande mmoja
Nafasi ya rufaa inatoa fursa kwa kila upande kuwasilisha concern zake kuhusiana na hukumu tajwa kama zipo
Kuendelea na defensive...
Kama kuna jambo la kipuuzi wanayanga mnafanya ni hizi unprofessional reaction kuhusu hukumu ya Haji Manara. Ile hukumu ilihitimishwa kwa kusema fursa ya kukata rufaa ipo wazi. Lakini si Manara mwenyewe wala wanachama wengine wanaoonekana kuelewa jambo hili. Nawauliza wana yanga maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.