Jamani kila nikitafakari na hii hali ya mambo inaonekana kila hali rais John Joseph Pombe Magufuli anamuanda RC wa Dar es Salam Daudi Albert Bashite almaarufu Paul Makonda kuwa mrithi wake yaani hii wala haiihitaji elimu kulitambua hili yuko tayari kugombana na yeyote ilimradi amtetee huyu bwana...
jamani mimi najiuliza sana najibu sipati Makonda anampa nini mkuu yani mkuu ule ukali wake woote...daaah cjui ata wp umeenda ikija ishu ya makonda manake tukatae tukubali kama mtu mwengine mkuu asingemuacha.
noo mm hpa kiimani ni mkristo lkn nasema bwan mengi sio muoga kwajili ya imani ya dini ila huyu rais wa awamu hii ni kichaa...kikwete alikua mstaarabu na mvumilivu...huyu rais wa mara hii hana dini huyu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.