Jamani kila nikitafakari na hii hali ya mambo inaonekana kila hali rais John Joseph Pombe Magufuli anamuanda RC wa Dar es Salam Daudi Albert Bashite almaarufu Paul Makonda kuwa mrithi wake yaani hii wala haiihitaji elimu kulitambua hili yuko tayari kugombana na yeyote ilimradi amtetee huyu bwana Bashite mpaka wengine washahisi kuna kitu ambacho sio cha kawaida kati yao.