Recent content by Jonathantindwa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkuu nenda Mbulu ama Dareda, Manyara vijiji vya Bashay, Bashinet, Dong'besh au Hiydom
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge na Madiwani wa CHADEMA wamtoa baruti Mkuu wa Wilaya

    Mkuu kiuhalisia cheo cha mkuu wa wilaya na mkoa vipo kihalali tangia mkoloni na vinaumuhimu sana kiutawala. Tatizo limejitokeza pale MFUMO wa vyama vingi upoanzishwa, chama tawala ikahodhi vyeo hivi na kufanya utendajikazi wake uwe ROBO TATU ni siasa kwa chama kinachotawala na ROBO ni uongozi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati Angalieni bei ya umeme, service charge ya nini?

    Mkuu umeme nalipa wastani wa sh. Elfu 5 na service charge elfu 5. Hii haingi akilini kwa kwa malipo huduma (tips) kuzidi gharama ya kitu unachohudumiwa (nunua). Ni vyema huduma hii formula yake ingekuwa kwa asilimia kama VAT
  4. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nilishinda urais lakini CCM wakaupora ushindi wangu na dunia nzima inajua

    Mkuu tupo Pomona. Dawa ya haya makandokando yote ni KATIBA YA VYAMA VINGI. Hasa inayofanana na ya Tume ya WARIOBA.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Mkuu Eddy, ajira hizi za uwaziri (kule Merikani zinaitwa Secretary of State) ni rutuba kwa manufaa na maendeleo ya nchi, hivyo sifa ya kuwa waziri nadhani haifanani kabisa na kuchukua fomu ya kuchaguliwa na wananchi maana sifa ya fomu ni kujua kusoma na kuandika.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Mkuu tatizo lingine ambalo linapaisha sana ADA kuwa kubwa ni namna ya ukokotoaji wa ankra katika kufikia kiwango cha ada yenyewe. Mwenye hizo shule wanakokotoa ankra zao kwa kuweka makisio makubwa hasa kwenye purchasing kama ifanyavyo ile Taasisi ya Manunuzi ya Serikali (peni ya sh. 200/- wao...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Mkuu hiyo familia yako yenye tegemezi say 4, sasa gawanya kwa hiyo laki 4, kila mmoja atatumia ngapi? Tafadhali jenga hoja za msingi kwenye masuala ya msingi. Serikali ina shule zake za sekondari za kutwa na bweni na wanazigharamia, hivyo wanajua takwimu halisi za gharama. La msingi ni kufanya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri laja lini?

    Mkuu mambo ni kwa bajeti maana akisevu gharama kwa mawaziri na manaibu kwa mwezi Novemba na Desemba, fedha hizo zinaweza kumalizia barabara ya kutoka Dodoma to Babati, Manyara.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamikakati wa Lowassa ahusishwa na wizi mkubwa Stanbic

    Mkuu twende na zote kwa pamoja ili wajue kwa tumegundua mbinu hizo
  10. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

    Mkuu, mara nyingi kupata UDC ni promotion kutoka Katibu Tarafa (sio Makatibu wa Vyama vya Siasa) na MaRCs ni promotion kutoka MaRCs.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Wabunge wamchagua Dr. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la JMT

    Hii inategemea na kujitambua kwa Waheshimiwa Wabunge, kama Serikali ikiwaona hawa Waheshimiwa hawajitambui/hajui wajibu wao Bungeni na wakati huohuo Serikali inataka mambo yake yaende watakavyo basi hutumia mwanya huo kupenyeza mtu wao kutoka Serikalini. Nadhani bora hata wale wa zamani akina...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Kikwete ulikosea sana na sijui tukueleweje

    . Iii !
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Mkuu, waziri ambaye ataendelea na uwaziri hadi siku ya kuapishwa ni yule ambaye hagombei UBUNGE tena. Mawaziri ambao wanaendelea kugombea Ubunge ni sharti uwaziri wao unakoma pale wanapoteuliwa kugombea jimbo. Nenda kasome Katiba sambamba na sheria na kanunu Zane. Kwa wabunge tulionao wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Mkuu, subiri kutakuwa na KESI NYINGI ZA KUPINGA MATOKEO YA UBUNGE maana uwanja haukuwa SAWA. Wakati utazungumza.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    ABOVE THE LAW ndio aina ya TAWALA zetu
Back
Top Bottom