Baraza la Mawaziri laja lini?

Baraza la Mawaziri laja lini?

Nchi haiendi labda huko Bandarini na Mwenge, na Mhimbili, huku kwetu Busanda hamna kitu hata vitanda sivioni.
 
Wakazi wa Dar es salaam ndiyo mnafaidi na hizo ambush huku kwetu pembezoni tunaona joto la jiwe
 
magufuli ana bana matumizi akitangaza mawaziri saivi gharama zitaongezeka so anasubiri haka kamwezi kaishe ili aanze kuwalipa mwezi ujao

Mkuu mambo ni kwa bajeti maana akisevu gharama kwa mawaziri na manaibu kwa mwezi Novemba na Desemba, fedha hizo zinaweza kumalizia barabara ya kutoka Dodoma to Babati, Manyara.
 
Mimi naona kama Dar es salaam ndo inaenda vizuri,maana uongozi umebaki Dar peke yake.
Huku mikoani mambo shwari saaana. yaani kila ofisi wameanza kujiweka kwenye mstarii..wanajua panga linakuja.
 
I am in your position.He is having extremely difficult time in finding the right people I am sure.Tuwe wavumilivu tupate watu safi.
Habari zenu Wana JF,

Mimi si mjuzi sana wa mchakato mzima wa uteuzi katika nafasi mbalimbali mara baada ya Uchaguzi Mkuu kupita, lakini naona kama vile mara hii imechukua muda sana kwa baraza la mawaziri kuundwa.

Mi naona kama uvumilivu wangu unanishinda vile, nahitaji kweli kuona hao mini tingatingas watakaomsaidia Pombe. Ni lini atawatangaza?
 
Back
Top Bottom