Recent content by Jonathanelly8

  1. J

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya jasho kwenye Forex na ukweli mchungu niliojifunza, still 'GAME ON'!

    Wazee wa forex muna nipa raha sana😆😆😆😆
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yananitesa mwenzenu

    Kama uko serious njoo tuwe wapenzi niko mwanza nasoma bugando @ kama vp unaweza kuja tuyajenge tuwe wapenzi tuwe wapenzi mimi nitakujali sana@ Mama angu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama hujajenga na mshahara wako ni wa kuunga unga, usipite karibu na Tumaini ya Dar!

    pamoja kaka ngoja nikuulize iv GPA ya diploma inakuwaje miaka mitatu GPA ya kwenda bachela wana angalia GPA ya mwisho au vp?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kama hujajenga na mshahara wako ni wa kuunga unga, usipite karibu na Tumaini ya Dar!

    shombe la kiarabu ulipata chuo wap kaka
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Financial Security is to a woman, what sex is to a man

    ok uko sahihi
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

    usiwe munafiki mama hajafanya kitu chochote hacheni kuwa wanafiki mama hajafanya chochote mupaka mudaaa huu kazi kuzulula tuuh anafuata oda za JK .... THINK Big usiwe unafuata mkumbo angalia mambo kwa jicho la tatu utaona mengi Its just a matter of time.... mama hana maajabu acha kumusifia...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    sio vizuri kumusema mtu vibaya lakini mama anafeli pakubwa sana sitaki niwe mnafiki hii nchi mama itamushinda ni suara la muda tuuh hana maajabu yeyote ???
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeanza kulewa kwasababu nimemchoka mume wangu tangu alipofilisika

    Nimekuelewa fanya kumutia moyo tuu atafanikiwa kiwa tuuh ni hatua za maisha na changamoto mami
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanajidharirisha kwa kupiga goti

    😘😅😅😅😅😅
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

    Konda msafi njoo umalizie mastory matamu ya south africa huko kaka unajua sana sema nn amilizia story kiloho safi wananchi watakulahani bro njoo umalizie kaka ww ni genius wa mastory matamu
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

    😅😅😅😅😅😅😅😅
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

    kaka leta story jamani dah mupaka tulie jamani kaka weka story kaka angu
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

    endeleza story tamu kaka story zako ziko makini sema unachelewesha muendelezo kaka
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

    Konda msafi umeshafeli leta story
Back
Top Bottom