No, an application brought under Order XXXV of the Civil Procedure Code, Cap 33 R.E. 2002 (Summary Procedure) is not sustainable before the District Land and Housing Tribunal (DLHT). This is because the Civil Procedure Code (CPC) does not apply to Land Tribunals as the governing law unless...
Nilivyochefukwa, nimeona niwape Takwimu za MU ambayo inasemwa ni nyoronyoro....kuwa haina utani Wala mchezo mchezo kwenye swala la kusimamia ubora wa elimu inayotolewa...kwenye post zangu za awali nilisema nimewahi kuwa mjumbe kwenye bodi ya Kampasi ya Dar es Salaam nikiwakilisha maslahi ya...
Hadi sasa hivi simwelewi mtoa maada lengo lake lilikuwa ni nini. Kwanini hakuwahi kuandika utoporo huu kabla ya tukio la Mbunge kushindwa Kuapa???
Tuanze mifano halisi ya wanafunzi wa Mzumbe University wanaofanya vizuri serikalini:Mh Antony Mtaka, Mkuu wa Mkoa bora ni zao la Mzumbe 100%...
Swala la Elimu na Ubora wake kwa Muktadha wa Waziri Mteule kushindwa kuapa haliwezi kuwa kipimo Cha kuhukumu kuwa Elimu ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe, na IFM siyo Bora ukilinganisha na vyuo vingine...
Binafsi nimesoma: Undergrad (UDSM na IFM) graduate (Mzumbe)... Hivyo Nina 3D perspective ya elimu...
Sababu za eti kwa sababu kima Membe wamekosa Uteuzi ndani ya Serikali ya awamu ya Tano ndiyo moja ya sababu, sasa kwanini Lukuvi aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi aingie kwenye vita ya kumkwamisha aliyemteua kuwa Waziri? Kwanini wewe ‘Lizaboni’ licha ya kuwa kiongozi Mwandamizi ndani ya Serikali...
Hoja hii si hoja. Je, ulikuwa unataka kusema kitu kama kuvaa cheni ya DHABABU ni gharama sana? Mbona wanaojiita marais wa masharobaro wanavaa? Basi hebu angalia rafiki zako wa karibu hawana hata kacheni? Bila shaka hiyo ni lifestyle yake...kama ambavyo mimi sijawahi kuvaa cheni wala sitaraji...
Hoja hii ni nzuri...nimeipenda.... Ila ishu moja tu ambayo ninadhani wakati unaandika hoja hii hukuifikiria. Je, muda mrefu ni muda mrefu kiasi gani? Je, umefikiria: PALE WEWE BINAFSI UNAPOKUWA UMEFANYA UAMUZI, kuwa huwezi kubadilisha hata kama iwevipi. Bila shaka mara maamuzi yanapokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.