Recent content by JONASON

  1. JONASON

    Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

    Indocid .. ziko vizur sana na akifa hanuki anakauka
  2. JONASON

    Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

    Ubaya ubwela
  3. JONASON

    Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

    Mmh ila mabinti wanatembea Toka dar to dom.. Siku mbaya kazini Mungu ampe faraja
  4. JONASON

    KERO Nimeibiwa kamera Tabata, sikupata msaada stahiki Kituo cha Polisi Stakishari. Mwizi anajulikana maeneo yale, amefanya tukio jingine na bado anapeta tu

    Njoo Tanga Kuna jirani yangu anasoma albadili siku moja tu majibu utayapata na Kwa vile picha unayo wapewe taarifa Kwa ndugu na watu wanaomjua mpe siku tatu tu . Tafuta nauli ya kujia tu kurudi nitakupa na Babu atalipwa na ndugu na jamaa wa karibu na huyo mwizi
  5. JONASON

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: rural development, computer skills, sisal grower, security skills . Experience: 8 yr Location: Tanga region Looking for any opportunity available
  6. JONASON

    Gigy Money: Kudanga Ndio Kunaniweka Mjini

    Mwenye connection anitumie
  7. JONASON

    Gigy Money asaidiwe

    Mkuu nitumie hiyo video nichek nakuja dm nakutumia whtsp number
  8. JONASON

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    Nakumbuka walituita usaili watu wote tulioandika barua ya kuomba kazi ndio usaili wangu wa kwanza tulifanya usaili chuo Cha uhasibu Arusha wakasema majibu yatatoka saa sita usiku oral then uende Moshi kupiga oral
  9. JONASON

    Nimesikitishwa sana! Kumbe mama mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa

    Sasa kwanini nawewe usimkaze vizuri tu wakat
  10. JONASON

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Wanatuumiza sana hawajui tu kama una vigezo vyote na huitwi inamaanisha nini mbona uzalendo tumeuweka mbele
  11. JONASON

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Mkuu kweli ulikuwa msange Hata Mimi nilikuwa huko pande hizo nazijua vizuri Kwa msukuma...Kuna Ile inshu ya kwenda kuzima moto Mimi nilikuwa eagle Kwa sameja Michael Kasembe na ofisa cardate Bakari
  12. JONASON

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Jamani bado inazingua haitaki kusubmit tunakosea wapi
Back
Top Bottom