Toweni nyinyi majibu .maana mnaongoe sana .kama mnamjua MTU nendeni mkaripoti. Waziri ana vyanzo Vingi vya usalama .kupitia vyombo vya usalama ndio maana kasema.tutilie tuache jeshi letu la police .lifanye Kazi yake .tulipe ushirikiano wakutosha.badala yaku lalamika .
Tunadaiwa. Ndio na deni lataifa lili somwa bungeni pamoja hilo deni .swali kinacho washa nini.kua tetra wangu .wazetu wazungu linpo tokea jambo Lima msalahi na inchi yao wana unguna kwa nguvu zote hajalishi nini kitatokea .kila inchi INA daiwa bana .kwanza lisu nimbunge wangu ntangu...
Hawana chakujadili.walizoea kuisema serikali kipindi kile ili waunde tume ya uchunguzi.sasa hakuna hilo.watatue matatizo yama jimbo yao .sio kudandio mambo.
Hawana chakujadili.walizoea kuisema serikali kipindi kile ili waunde tume ya uchunguzi.sasa hakuna hilo.watatue matatizo yama jimbo yao .sio kudandio mambo.
Tatizo ni lao hawaandai viongozi. tatizo lao kuokota viongozi.wanao toka ccm.maana .wanapiga kelele.hawa mafisadi wakubwa.baadae.wanasema .oohuyu mzuri.anafaa sana .wana sahau wao wali mchufua.1 waangalie njinsi yakupata viongozi bora na si bora viongozi.wakuteuliwa na...
Inchi uko salama .hiyo marecani inayo isema kila dakika moja kunauhalifu. Lakini wazetu haya kwao sio siasa kwetu sisi kila kitu nisiasa .sasa wana siasa watu .wana tu imanisha kwama tukio,kwao agenda kubwa .lakini mchango wakitaifa.amba yo ndio kero kwa wanainchi.huduma mbali mbali .kama maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.